stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
- Mpaka napoongea saaahv Tanzania has a gdp of ~($70B)+, nyuma kidogo ya kenya wenye gdp ya ($100B)+, wakati magufuli anaingia madarakani tanzania ilikua na gdp ya $(45.68B),
Benki ya tanzania pia ilirekodi ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7
Benk ya dunia nayo haikua nyuma
- kwahaya mafupi wale wote mnaomshambulia magu, mjitathmini!
Ukitoa kupanda na kushuka on average Tanzania imekua kwa 5% - 8%. Cha kwanza hii ni miujiza na sio an easy task at all. hakuna nchi imeweza kuattain growth kama hii ndan ya miaka mitano tu!
Benki ya tanzania pia ilirekodi ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7
Benk ya dunia nayo haikua nyuma
- kwahaya mafupi wale wote mnaomshambulia magu, mjitathmini!