Uchumi wa Tanzania ulikua kwa 6.9% au zaidi kipindi cha mwaka 2017-2019

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
- Mpaka napoongea saaahv Tanzania has a gdp of ~($70B)+, nyuma kidogo ya kenya wenye gdp ya ($100B)+, wakati magufuli anaingia madarakani tanzania ilikua na gdp ya $(45.68B),
Ukitoa kupanda na kushuka on average Tanzania imekua kwa 5% - 8%. Cha kwanza hii ni miujiza na sio an easy task at all. hakuna nchi imeweza kuattain growth kama hii ndan ya miaka mitano tu!

Benki ya tanzania pia ilirekodi ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7



Benk ya dunia nayo haikua nyuma

- kwahaya mafupi wale wote mnaomshambulia magu, mjitathmini!

 
Benki na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali walikuwa wanalazimishwa kutoa takwimu.

Mfano tirioni 60 za midege iliyokuwa unashinda imepaki Chato.
 
Mkataa pema pabaya pa muita. Walikataa kazi wakataka pesa, na bado!
 
Mwananchi wa hapo Ferry karibu na ofisini kwenu anasemaje? Achana na sisi wa huku Ngara ambao hatufahamu 6.9% ni nini, maana sisi tunalinganisha kipato dhidi ya matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…