Uchumi wa Ukraine kuporomoka kwa 45.1% kutokana na vita

Uchumi wa Ukraine kuporomoka kwa 45.1% kutokana na vita

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
1649664992407.png

Kwa mujibu wa Tathmini mpya ya athari za kiuchumi za vita ya Urusi na Ukraine, Uchumi wa Ukraine unatarajiwa kuporomoka kwa 45.1% Mwaka 2022

Tathmini hiyo ya Benki ya Dunia (WB) inasema uvamizi wa Urusi umelazimisha biashara kufunga, kupunguza mauzo ya nje na kuharibu mifumo ya uzalishaji

Aidha, WB inatarajia Pato la Taifa la Russia Mwaka 2022 kushuka kwa 11.2% kutokana na vikwazo vilivyowekwa na Marekani na washirika wake wa Magharibi

=======

Ukraine’s economy is expected to collapse by 45.1% this year, far worse than predicted, the World Bank reported in a dire forecast as the conflict drags on.

Meanwhile, Russia is expected to see an 11.2% decline in GDP, AFP reported, with the entire region suffering economic consequences from the war, which has caused more than 4 million Ukrainians to flee and sent grain and energy prices soaring.

“The results of our analysis are very sobering. Our forecasts show that the Russian invasion in Ukraine has reversed the region’s recovery from the pandemic,” said Anna Bjerde, the World Bank vice-president for Europe and Central Asia.

The World Bank expects emerging and developing countries in Europe and Central Asia to contract by 4.1% this year because of the conflict, a scenario twice as bad as the pandemic-induced recession in 2020.

Source: The Guardian
 
Wapigwe tu

Nasema hivi ' muwatandike tu'
Piga hao .
Kosa lao ni kumsikiliza Mmarekani kisha badala ya kufanya mazungumzo ya amani au kupeleka jeshi lake Ukraine yeye anapeleka silaha.
Yaani wewe uuliwe na kuvunjiwa miundombinu yako kisa humpendi jirani ?!. Akili za ki communist shida sana !!
 
Benki ya dunia wako sahihi

Uchumi wa Ukraine umeshushwa na Urusi lakini hizo gharama zote za kushusha atazilipa Mrusi

Sababu kuvamia Ukraine kwa kuota tu eti iko siku kaota Ukraine itakuja kuivamia Urusi!!!

Ndoto tu ndio auawe watu vile na kuwafanya naelfu wakimbizi na kubomolea miundo mbinu na vitega uchumi vile atalipa .Takwimu.muhimu hizo kumpelekea invoice hiyo ni.moja ya item ya kuweka kwenye invoice .Item ziko nyingi ikiwemo fidia za majengo ,Fidia law waliolemaa,waliouawa nk

Katika vita ya kijinga kwenye ulimwengu wa leo uliostaarabika ni hiyo ya Urusi kuvamia Ukraine wakati Ukraine hajarusha hata jiwe tu kurushia Urusi
 
Hoja ya kikubwa ni urusi kulipa? WTF...
Atalipa mara kibao
Kwanza kwa Putin na genge lake kuondolewa madarakani na Putin kupelekwa mahakama ya uhalifu wa kivita the hague na genge lake

Pili Kulipa Ukraine uhalibifu wote amefanya ikiwemo mifidia kwa ndugu wa.watu aliowaua na fidia za mali

Tatu atalipa kwa uchumi na biashara za Urusi kuadhibiwa kwa vikwazo ambavyo vitairudisha nyuma Urusi kwenye uchumi wa enzi za mawe na kuitoa rudi kuwa taifa lenye nguvu duniani

Nne Urusi inaenda kusambaratika tena itavunjika vipande vipande kwa vita vya ndani vya wenyewe kwa wenyewe sababu hii vita ya Ukraine Putin hana uungwaji mkono wa wananchi walio wengi wa Urusi ni yeye Putin na genge lake la wanajeshi mafisadi wachache ndio waliamua jeshi kuvamia Ukraine.
 
Atalipa mara kibao
Kwanza kwa Putin na genge lake kuondolewa madarakani na Putin kupelekwa mahakama ya uhalifu wa kivita the hague na genge lake

Pili Kulipa Ukraine uhalibifu wote amefanya ikiwemo mifidia kwa ndugu wa.watu aliowaua na fidia za mali

Tatu atalipa kwa uchumi na biashara za Urusi kuadhibiwa kwa vikwazo ambavyo vitairudisha nyuma Urusi kwenye uchumi wa enzi za mawe
Hahaha ok, so lini ataenda mahakamani? Ili nije kukumbusha?
 
Urusi sio Zimbabwe.............security council kwenyewe wameshindwa kumtoa sembuse hio mahakama uchwara,, kuna vyombo vina nguvu dhidi ya mataifa utopolo tu , hio mahakama inaweza ikatoa hukumu yake na ikabakia tu kwenye mavitabu yao watu maisha yakaenda
 
Kama nchini kwako unapendeka sana mahakama ikitoa hukumu yaweza shindwa ku enforce lakini Putin kazi ndogo magenerali waliomchoka watamdaka na kumkabidhi bila shida it is just a matter of time
 
Hahaha ok, so lini ataenda mahakamani? Ili nije kukumbusha?
Wachche sana walienda mahakamani kwa hiari wachache ni Kenyatta na Ruto tu ndio walienda

Wengine wote Serikali zao ndizo ziliwakamata na kuwapeleka

Mahakama inachofanya ni kutoa arrest warrant ya kimataifa kuwa ukifika popote kamateni mtuletee

Putin sasa hivi atakuwa anaishi kwenye mashimo kwa kujificha hajui saa ngapi na muda gani na na nani aweza mdaka akamkabidhi the Hague
 
Kama nchini kwako unapendeka sana mahakama ikitoa hukumu yaweza shindwa ku enforce lakini Putin kazi ndogo magenerali waliomchoka watamdaka na kumkabidhi bila shida it is just a matter of time
Hayo hamjaanza kusema leo na Putin bado anatamba........mkamsaidie babu yenu biden huko maana huyo ndo anaweza akachomolewa na wananchi wake
 
Hayo hamjaanza kusema leo na Putin bado anatamba........mkamsaidie babu yenu biden huko maana huyo ndo anaweza akachomolewa na wananchi wake
Putin alutoa hadi masaa 24 raiisi wa Ukraine na Serikali yake wajiuzulu vinginevyo angezidisha mashambulizi kipindi hicho yuko anashambulia Kiev na mariupol

Ukraine hadi leo serikali wapo wanamdunda Putin kwenda mbele.Vitisho vyake vya nyau vimeishia wapi

Putin alitishia mkwara Mbuzi kuwa yeyote. atakayeisaidia Ukraine kwenye hii vita atamuonyesha cha mtema kuni kwa kipigo.NATO na Marekani na nchi kibao wanapeleka Silaha Ukraine mchana kweupe na kutangaza wanamuunga mkono na kumsaidia Ukraine. PUTIN kaufyata hicho kimtema kuni chake kiko wapi?
 
Back
Top Bottom