Uchumi wa Ukraine kuporomoka kwa 45.1% kutokana na vita

Putin alutoa hadi masaa 24 raidi wa Ukraine na Serikali yake wajiuzulu vinginevyo angezidisha mashambulizi kipindi hicho yuko anashambulia Kiev na mariupol

Ukraine hadi leo serikali wapo wanamdunda Putin kwenda mbele.Vitisho vyake vya nyau vimeishia wapi

Putin alitishia mkwara Mbuzi kuwa yeyote. atakayeisaidia Ukraine kwenye hii vita atamuonyesha cha mtema kuni kwa kipigo.NATO na Marekani na nchi kibao wanapeleka Silaha Ukraine mchana kweupe na kutangaza wanamuunga mkono na kumsaidia Ukraine. PUTIN kaufyata hicho kimtema kuni chake kiko wapi?
Leta ushahidi wa uliyo yaongea.
 
Benki ya dunia wako sahihi

Uchumi wa Ukraine umeshushwa na Urusi lakini hizo gharama zote za kushusha atazilipa Mrusi

Sababu kuvamia Ukraine kwa kuota tu eti iko siku kaota Ukraine itakuja kuivamia Urusi!!!

Ndoto tu ndio auawe watu vile na kuwafanya naelfu wakimbizi na kubomolea miundo mbinu na vitega uchumi vile atalipa .Takwimu.muhimu hizo kumpelekea invoice hiyo ni.moja ya item ya kuweka kwenye invoice .Item ziko nyingi ikiwemo fidia za majengo ,Fidia law waliolemaa,waliouawa nk

Katika vita ya kijinga kwenye ulimwengu wa leo uliostaarabika ni hiyo ya Urusi kuvamia Ukraine wakati Ukraine hajarusha hata jiwe tu kurushia Urusi
Hivi lini mfuasi wa CCM akawa mpenda haki?au upo unatupigia kelele tu hapa na unafiki wako ulio kujaa mpaka matakoni?

Hiyo haki anza kuiomba kwenye chama chako kilicho jaa udhwalimu na uchafu wa kila aina dhidi ya watz.
 
Leta ushahidi wa uliyo yaongea.
Russia has given Ukraine until the early hours of Monday to surrender the besieged city of mariupol

However, Ukrainian Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk rejected the ultimatum. “There can be no talk of any surrender, laying down of arms. We have already informed the Russian side about this,” she told the news outlet Ukrainian Pravda.

According to a Russian state news agency RIA, Russia’s defense ministry wanted a response from Ukraine’s military by 5 a.m. Moscow time/4 a.m. in Kyiv (0200 GMT). Moscow referred to refusing to surrender as siding with “bandits.”

The ultimatum came hours after Zelenskyy told CNN’s Fareed Zakaria in an interview broadcast Sunday that failure to reach a negotiated agreement with Russia “would mean that this is a third World War.”

Zelenskyy has called for comprehensive peace talks with Moscow that restore the territorial integrity and provide justice for Ukraine. Russia's lead negotiator has said in recent days the sides have moved closer to agreement on the issue of Ukraine dropping its bid to join NATO and adopting neutral status.
 
Mm nime kwambia ulete ushahidi wa Urusi kuipa masaa 24 serikali ya Ukraine kujidhuru na si vinginevyo.
 
Kama nchini kwako unapendeka sana mahakama ikitoa hukumu yaweza shindwa ku enforce lakini Putin kazi ndogo magenerali waliomchoka watamdaka na kumkabidhi bila shida it is just a matter of time
Hivi wewe umeshawahi kuwa na akili hata kidogo?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Two wrongs don't make right

Kama mmarekani alikosea kwa hiyo nakosa yaendelee? Hoja ya kitoto
Putin alutoa hadi masaa 24 raiisi wa Ukraine na Serikali yake wajiuzulu vinginevyo angezidisha mashambulizi kipindi hicho yuko anashambulia Kiev na mariupol

Ukraine hadi leo serikali wapo wanamdunda Putin kwenda mbele.Vitisho vyake vya nyau vimeishia wapi

Putin alitishia mkwara Mbuzi kuwa yeyote. atakayeisaidia Ukraine kwenye hii vita atamuonyesha cha mtema kuni kwa kipigo.NATO na Marekani na nchi kibao wanapeleka Silaha Ukraine mchana kweupe na kutangaza wanamuunga mkono na kumsaidia Ukraine. PUTIN kaufyata hicho kimtema kuni chake kiko wapi?
sasa silsha siwanauza waambie wapeleke jeshi sasa uone kama putin hajawachachafya
 
Back
Top Bottom