Uchumi wako unaweza kununua kitu gani unachojisikia?

Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2021
Posts
6,432
Reaction score
25,646
Nilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali).

Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza kununua kiwanja chochote na mahali popote. Na Hawa siyo kina Mo na Bahresa,ni watu tu ambao wapo low key ila ni wanene(mafogo/matajiri).

Nikijiangalia, najiona Sina uwezo wa kununua kiwanja mahali popote pale ninapotaka,Wala kujenga nyumba yeyote ninayoitaka kwa sababu uchumi wangu upo limited.

Siku nimeenda Kidimbwi nikagundua kumbe Mimi Bado sana. Yani hata kinywaji (pombe) Sina uwezo wa kununua pombe yoyote ninayojisikia kununua. Kwa sababu nilikutana na pombe za hadi milioni mbili,alafu chupa Moja tu jamani!! Mbaya zaidi Kuna watu wananunua bila kumuuliza uliza bei Wala kujikuna kichwa.

Kuna watu Wana uchumi wa kwenda mahali popote pale duniani kula Bata.

Mwingine ana uwezo/uchumi wa kula chochote anachojisikia na muda waowote akitaka.

Mwingine ana uwezo wa kununua gari lolote linalouzwa hapa duniani,wakati Kuna kina sisi hata Toyota Passo inakuwa kipengere.

Anyways,turudi kwenye swali;

Uchumi wako una nguvu ya kufanya nini unachojisikia?
 
Hii ndiyo imenifanya nitafakari.

20240319_133112.jpg
 
Nikijiangalia,najiona Sina uwezo wa kununua kiwanja mahali popote pale ninapotaka,Wala kujenga nyumba yeyote ninayoitaka kwa sababu uchumi wangu upo limited.
Kama mimi,kuna sehemu nilipita juzi ni pahala ninapopapenda sana...nikasikia kuna viwanja vyauzwa hapo...Bas naonyeshwa nabaki kuangalia na kutamani tu.
 
Anyways,turudi kwenye swali;

Uchumi wako una nguvu ya kufanya nini unachojisikia?
Kila mtu anafanya manunuzi katika level yake ya maisha aliyonayo.

Hata mtu anayenunua private jet kuna vitu na yeye anaona bado hawezi fika bei kuvinunua.

download.jpeg

Swaumu ya leo kali sana, nipo hapa na wife tunasubiri adhana tupate futari.
 
Nilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali).

Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza kununua kiwanja chochote na mahali popote. Na Hawa siyo kina Mo na Bahresa,ni watu tu ambao wapo low key ila ni wanene(mafogo/matajiri).

Nikijiangalia, najiona Sina uwezo wa kununua kiwanja mahali popote pale ninapotaka,Wala kujenga nyumba yeyote ninayoitaka kwa sababu uchumi wangu upo limited.

Siku nimeenda Kidimbwi nikagundua kumbe Mimi Bado sana. Yani hata kinywaji (pombe) Sina uwezo wa kununua pombe yoyote ninayojisikia kununua. Kwa sababu nilikutana na pombe za hadi milioni mbili,alafu chupa Moja tu jamani!! Mbaya zaidi Kuna watu wananunua bila kumuuliza uliza bei Wala kujikuna kichwa.

Kuna watu Wana uchumi wa kwenda mahali popote pale duniani kula Bata.

Mwingine ana uwezo/uchumi wa kula chochote anachojisikia na muda waowote akitaka.

Mwingine ana uwezo wa kununua gari lolote linalouzwa hapa duniani,wakati Kuna kina sisi hata Toyota Passo inakuwa kipengere.

Anyways,turudi kwenye swali;

Uchumi wako una nguvu ya kufanya nini unachojisikia?
Jitahidi sana kutamani unavyoweza kuafodi
 
Kula,kunywa,kushiba na kuufurahisha moyo....MENGINE YOOTE NI UBATILI.
 
Back
Top Bottom