Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

Sasa ulitaka aendelee kuwa Mnafiki?
Huenda amegundua makosa yake then ameamua kuchukua hatua za kujitenga huo uovu.
 
Polepole ni mshamba mshenzi, aina ya wanasiasa kama Polepole hawapaswi kupewa platform hata ya kusikika na Kaka yake Bashiru
Ni kweli hao ndo walikuwa core architects wa kuasisi mambo ya hovyo. Tunawezaje kumwamini kwa sasa?????
 
Tuendelee kujiuliza maswali ni kweli Polepole ni mzalendo na mwenye uchungu wa nchi yake kama anavyojaribu kujinasibu????
Jamaa anataka afanye Sala ya Toba on public yeye alijua leo ni Dira na leo rais angeongea na yeye alipanga leo aongee wote wawe hewani kabadiri gia angani anatufanya sisi mafala yaan anatupanga halafu anakuja kuongea ujinga
 
Pole Pole kwasasa ni lulu kwetu CHADEMA mengine baki nayo.
 
Pole pole kasema atafafanua mambo ya haki na utawala bora tarehe 18 ijumaa mwezi huu tuvute subra..
Hakuna atakachokiongea kesho cha maana yaan issue yake ishapoteza mvuto bora angekaa kimya tu aendelee na issue zingine maana ishaeleweka anaenda kuongea nini, guts za kumchana rais on public km alivyomchana kwenye barua hana anaenda kutubu
 
Wewe umenisoma between lines na umeielewa vyema context. Hongera sana.

Kuna watu wanakurupuka unajiuliza, huyu ni darasa la ngapi au ndo akina Taletale?
 
N
Pole Pole ni Mjamaa Kwa imani
 
Jamaa anataka afanye Sala ya Toba on public yeye alijua leo ni Dira na leo rais angeongea na yeye alipanga leo aongee wote wawe hewani kabadiri gia angani anatufanya sisi mafala yaan anatupanga halafu anakuja kuongea uji

Hangaya kasema atamjibu leo???
 
Wewe umenisoma between lines na umeielewa vyema context. Hongera sana.

Kuna watu wanakurupuka unajiuliza, huyu ni darasa la ngapi au ndo akina Taletale?
Asante sana kwa maneno yako ya kuelewa na kuthamini. Kuelewa "between the lines" kunahitaji si tu lugha, bali pia muktadha na busara ya kuona mbali — kitu ambacho, kama ulivyosema, wengine wanakurupuka nacho kwa povu badala ya mantiki.

Na kweli, kuna watu wanapiga kelele kabla ya kusikiliza, na wengine hujiona kama wasemaji wa kila jambo, hata kama halihusiani nao. Ila bahati nzuri, hoja nzuri huwa haikimbiwi na kelele.

Uko sahihi kabisa — hoja ikiletwa kwa heshima na akili, haibaki mezani bila tafakari.
 
Wabongo wengi ni wapumbavu sana. Inatokea watu wanawapazia sauti badala ya kuwaunga mkono waandika mavi

Tangu lini mwizi akatangaza kwa watu wema kuwa kuna wezi wenzangu wanaiba.

Kwa taarifa yako sisi tunapaza sauti miaka na miaka. Hatujaona jipya kwake
 

Kwa nini unataka tujadili misimamo ya Polepole ya zamani badala ya kujadili hoja zake za sasa?

Unajua kuwa Diachronic incoherence refers to a lack of consistency or logical connection between an agent's beliefs, intentions, or actions across different points in time?

Unaelewa kuwa Synchronic coherence, in the context of beliefs, refers to the logical consistency and closure of an agent's beliefs at a single point in time?

Kwa nini unataka tujadili diachronic incoherence ya Polepole badala ya kujadili synchronic coherence ya Polepole ya sasa?

Huoni kuwa unatuondoa kwenye hoja iliyo mezani ili kuipa unafuu serikali inayolalamikiwa na Polepole?

Kwa nini unafuata nyayo za kina Ansbert Ngurumo na wenzao wa G55 bila kuona kwamba unaingizwa chaka?

Nimeshangaa kuona hata Godbless Lema ameanguka kwenye mtaro huu wa kuhamisha mjadala.

Akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Zingatia: For maintaining healthy debates, you shall not attack the arguer instead of attacking the tabled argument.
 
Hangaya kasema atamjibu leo???
Polepole alijua leo 17.07.2025 ni Dira ya Maendeleo na alijua leo rais ataongea na yeye akapanga leo leo na yeye lazima ataongea kisha yeye na rais wakutane hewani huyu anaongea na huyu anaongea, hio ndio ilikua plan yake unanielewa? Sasa kwa sababu kabadirisha gia angani kaufyata mkia kesho 18.07.2025 anaenda kutubu hana cha kuongea
 
Hakuna atakachokiongea kesho cha maana yaan issue yake ishapoteza mvuto bora angekaa kimya tu aendelee na issue zingine maana ishaeleweka anaenda kuongea nini, guts za kumchana rais on public km alivyomchana kwenye barua hana anaenda kutubu
Kumbe wewe hauwajui wana siasa mkuu subiri utasikia atakachoongea mwana siasa akikasirika povu likijaa anaongea chochote ajali atapata madhara gani yule aliumia sana kutolewa Ubunge na kupelekwa Malawi ndio maana kule alitaka kuendelea na harakati zake wakaamua kumtupa huko Guatemala kajitengenezea sumu ya muda mrefu ndio hii inaanza kutoka na atatoa sana sumu.
 
Very good question.
1. Tunahoji maswali ya msingi tujue kama ana dhamira ya kweli au ni giriba za kisiasa kujitafutia umaarufu wa kisiasa kwa wakati sahihi. Refer ya Lowasa na akina Nyarandu

2. Huwezi kufanya conclusion ya jambo fulani bila kujiridhisha. Historia na matendo ya mtu husimama kama kioo kwa matendo yako ya sasa. Maswali ya msingi tunayoyahoji, why wakati huu wa uchaguzi na siyo kabla?? Giriba za kisiasa hutawala unga la kisiasa nyakati za uchaguzi. Watch out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…