Hajakosea ila lile kwa kuwa liliwa-fever Simba ndio maana mkuu
GENTAMYCINE huta
Hajakosea ila kwakuwa ile kanuni iliwa-fever Simba ndio Maana mkuu
GENTAMYCINE hutaki hili likumbukwe la mchezaji kuchagua mechi ya kucheza kama akiwa ameonyeshwa kadi 3 kwa michezo tofauti tofauti. Lakini pia lazima lisemwe kukwawa lilitokea wakati wa Uongozi wa Malinzi ili kujua yote Mabaya aliyoyafanya. Mbona mnakuwa wachungu watani mkitajwa kwa hili la kadi 3 za njano??????