Uchunguzi kashfa ya upangaji matokeo FDL

Wamsimbazi mna matatizo kweli kweli, yaani ni fitina, majungu, longo longo ili mrafi mumchomoe malinzi!
Kwa mtizamo kama huu napata shida sana kujua hatma ya soka letu. Huyu bwana anataka kuleta mahaba ya Simba na Yanga katika mambo ya kitaifa. Hapa hakuna suala la mahaba niue, kuna watu wakiongozwa na Viongozi waandamizi wa soka wamebaka kanuni na taratibu za soka, sasa unataka tumuangalikie kwa kuwa ni mtu wa Yanga, mbona Tarimba ni Yanga damu lakini ameweka mahaba kando amesimamia ukiukwaji wa taratibu na sheria.
 
Moderators NATOA KWENU ANGALIZO HUYU MEMBER NADHANI KUNA ANALOLITAKA KWANGU KWANI HAKUNA UZI AU POST NITAKAYOIANDIKA AU KUIANZISHA ASIJE KUNIJIBU KWA KUNI PROVOKE NA BAHATI NZURI HILI JAMBO MNALIONA HALAFU HAMCHUKUI HATUA ZOZOTE. KWA UTHIBITISHO ZAIDI NAWAOMBENI PITIENI MAJIBU YAKE YOTE KATIKA EITHER THREADS OR POSTS ZANGU MJIRIDHISHE.

HUWA NAPENDA SANA AU MNO UTANI ILA HUYU MEMBER NAONA ANA AGENDA MAALUM DHIDI YANGU KWANI HAKA KATABIA HAJAANZA LEO WALA JANA. NAWAOMBENI KAMA MNAVYOKUWA WEPESI KUNIPIGA BAN BASI PI MUWE WEPESI KUCHUNGUZA SUCH PROVOCATIONS KAMA HIZI.

NINA UVUMILIVU MKUBWA TU LAKINI UNAKARIBIA KUNISHINDA NA KUCHELEWA KWENU KUCHUKUA HATUA MTASABABISHA NIJE NA MAJIBU YA HATARI ZAIDI DHIDI YAKE HALAFU NICHAFUE HUMU HALI YA HEWA KISHA MNIFANYIE HICHO MNACHOKIPENDA KUNIFANYIA.

SASA HIVI NAFANYA KAZI YA WATANZANIA KUIBUA UOZO ILI MATATIZO HAYA YAISHE NA LAITI MNGEJUA NINAVYOHATARISHA MAISHA YANGU KUZIPATA HIZI TAARIFA MNGENIPONGEZA AU HATA KUNIONEA HURUMA LAKINI ANATOKEA TU MTU MMOJA KILA NINAPOKUWA ANANIFUATA FUATA HALAFU KATIKA MAMBO MUHIMU NINAYOYALETA.

KAMA NA NYIE MNA AGENDA BINAFSI NA HUYU MEMBER SEMENI TU ILI NIJUE MOJA NA ASIDHANI KUWA SIMJIBU LABDA NAMUOGOPA BALI NALINDA TU HESHIMA YENU ILA ANAPOELEKEA ATASABABISHA MENGINE KWANI NIMEMCHOKA.

NIMEMALIZA!
...ana kimbelembele sana huyo mama,nahisi atakuwa mjane,wachana nae.
N.B. Nilikuwa naona story zako km za kutunga,ila nilikuja kupruv kwenye issue ya E-fm, kweli wale wanamilikiwa na Yanga,siwasikilizi tena siku hizi.
 
..Malinzi jiuzulu tu,usiendelee kupoteza muda huko TFF,kiukweli umeshindwa.
Leo tena nimeona kuna timu imeshinda 16-0,sijui mkoa gani huko,wakati huo huo kuna timu ina viporo vitatu kwenye premier league,hii yote ni kwasababu ya pesa zao ndio zinaiendesha TFF baada ya Magufuli kuwafungia akaunti zenu.
Muungwana hukubali kushindwa,step down.!!
 
Mkuu na ile issue ya mwaka jana kuwaruhusu Simba kumchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano ilisababishwa na hela ya kaptein wa zamani wa jeshi!!!!!!
Unakumbuka kwenye kamati zake pale tifutifu kuna yule Mr. White, Georfray Nyange Kaburu!!!!!. Huyu Malinzi ni wa hivi hivi tu,.
 
Mkuu GENTAMYCINE shikilia hapo hapo nakuunga MKONO na MIGUU ktk hili, malinzi anahusika kwa % zote unazozijua, ATUMBULIWEEEE
 
Gentamycine kwenye sensitive kama hizi nakuelewa sana mkuu, ingawa mada zako zingine zinachosha akili, ila kwa hili #salute Gentamycine/la brugita"
 
..Malinzi jiuzulu tu,usiendelee kupoteza muda huko TFF,kiukweli umeshindwa.
Leo tena nimeona kuna timu imeshinda 16-0,sijui mkoa gani huko,wakati huo huo kuna timu ina viporo vitatu kwenye premier league,hii yote ni kwasababu ya pesa zao ndio zinaiendesha TFF baada ya Magufuli kuwafungia akaunti zenu.
Muungwana hukubali kushindwa,step down.!!
 
vip kuhusu kadi tatu za njano kwa wachezaji wa simba pekee kuchagua mech ya kucheza hilii limekaaje mkuu au ndo yale yale mambo ya KABURU na HANSPOPE???
 
Hapa Tunajadili Ya TFF Sasa Ya Akina Kaburu Na Hanspoppe Yameingiaje? Kaburu Na Hanspoppe Ndiyo Wamefunga Hayo Magoli 7 Ya Police Tabora Na 8 Ya Geita FC? Hebu Onyesheni Basi Kama Mlikimbia Umande Japo Kidogo Kwa Kufikiri Vizuri.
 
Kwa mtizamo kama huu napata shida sana kujua hatma ya soka letu. Huyu bwana anataka kuleta mahaba ya Simba na Yanga katika mambo ya kitaifa. Hapa hakuna suala la mahaba niue, kuna watu wakiongozwa na Viongozi waandamizi wa soka wamebaka kanuni na taratibu za soka, sasa unataka tumuangalikie kwa kuwa ni mtu wa Yanga, mbona Tarimba ni Yanga damu lakini ameweka mahaba kando amesimamia ukiukwaji wa taratibu na sheria.
kusitishwa tu kwa misaada ya marekani watu walishangilia ki ukawa na ccm,,,,we unashangaaa hili mkuu?
 
Mkuu hapa ukiichanganya hiyo mada tutakosa mwelekeo, yataanzanza kuzungumziwa mambo mengine mwisho wa siku lengo la mleta uzi litapotoshwa
 
Hapa Tunajadili Ya TFF Sasa Ya Akina Kaburu Na Hanspoppe Yameingiaje? Kaburu Na Hanspoppe Ndiyo Wamefunga Hayo Magoli 7 Ya Police Tabora Na 8 Ya Geita FC? Hebu Onyesheni Basi Kama Mlikimbia Umande Japo Kidogo Kwa Kufikiri Vizuri.
poa mkuu nimekusoma maslahi ya soka letu kwanza vilabu baadae
 
We jamaa ni kiazi, watu wanaongelea upangaji wa matokeo ya ligi daraja la kwanza ambalo kila mtu analitambua! We unaleta habari za msimbazi! Inaelekea usipotaja huo mtaa makalio yanakuwasha!!😡

Mkuu Mpe Lingine Ashike Adabu! Kama Wachezaji Wao Wakishangilia Magoli Hushika MAKALIO Yao Wakiyabinuabinua Wewe Unategemea Nini Kwa Mashabiki Wao?
 
Hivi wadau mmewahi kujiuliza kuhusiana na hili tatizo la timu mbalimbali kupanga matokeo katika ligi za madaraja tofaut tofauti hasa kipindi hiki cha utawala wa Jamal Malinzi!!!!!
Ligi daraja la kwanza kuna kashfa ya kupanga matokeo, ligi Daraja la pili nako kule mkoani Katavi timu zimepanga matokeo mpaka zinafungana goli 16-0 mechi moja, na leo tena kule Mkoani Geita kuna timu za ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa huo nazo zimepanga matokeo. Hivi kwanini hili tatizo linazidi kubwa kila kukicha hasa chini ya huyu mtu Malinzi???????
 
Mkuu Mpe Lingine Ashike Adabu! Kama Wachezaji Wao Wakishangilia Magoli Hushika MAKALIO Yao Wakiyabinuabinua Wewe Unategemea Nini Kwa Mashabiki Wao?
Hajakosea ila lile kwa kuwa liliwa-fever Simba ndio maana mkuu GENTAMYCINE huta
We jamaa ni kiazi, watu wanaongelea upangaji wa matokeo ya ligi daraja la kwanza ambalo kila mtu analitambua! We unaleta habari za msimbazi! Inaelekea usipotaja huo mtaa makalio yanakuwasha!!😡
Hajakosea ila kwakuwa ile kanuni iliwa-fever Simba ndio Maana mkuu GENTAMYCINE hutaki hili likumbukwe la mchezaji kuchagua mechi ya kucheza kama akiwa ameonyeshwa kadi 3 kwa michezo tofauti tofauti. Lakini pia lazima lisemwe kukwawa lilitokea wakati wa Uongozi wa Malinzi ili kujua yote Mabaya aliyoyafanya. Mbona mnakuwa wachungu watani mkitajwa kwa hili la kadi 3 za njano??????
 
Back
Top Bottom