Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
kuna siku mmoja alisema et nilitolewa kizazi na sasa nina ujauzito wtf!! nikajisemea hawa wakawadanganye wasiojua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshimuni imani za watu
Makanisa ya ufufuo yana haki kama imani na madhehebu mengine
Hehehehe heiya hao wahuni Mungu anawaona wanakera sana na mazingaombwe yao
Propaganda na uzushi.
Sample yk iko na wa2 wangapi na amefikia aje saturation point
Kwa hii story imeshonwa shonwa na mhuni anajiita mtafiti.
Icheki uone inconsistency zimeshikana.
Na hi sio dokezo bali umeokoteza vya humu na vijiweni ndo uje udokeze vitu vyasemwa miaka humu
Aposto Kuna muujiza hukuuuuu
Weka linkKule kwa Papa, waamini wameambiwa wapeleke shuhuda zao kwa kulipa zaka, halafu eti hizo shuhuda zinapitiwa/ hakikiwa kwanza na kamati ya zaka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Acha magugu na ngano vimee pamoja,huwa wakishatapeliwa urudi walipozaliwa.Ili hoja yako iwe na nguvu kuhusu shuhuda za uongo inabidi usimame neutral, usioneshe unaamini madhehebu gani. Vinginevyo hoja hii itaonekana ni propaganda kuzuwia waumini wenu wasiwakimbie baada ya kuwachosha na mafundisho yaleyale kila wakati. Tatueni shida za waumini wenu, fundisheni kweli neno la Mungu. Waumini wenu wamechoshwa na liturujia zenu wanawakimbieni kwenda kutafuta malisho bora kwingine. Njiani wanakutana na mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo wanawadaka na kuwararua vibaya, wanabebwa na shuhuda za uongo wakihangaika kutafuta sehemu zenye kufundisha ukweli. Usijumuishe makanisa ya kiroho na hao matapeli waliopata nguvu kwa kusaidiwa na media zao. Injili ya kweli haihubiriwi siku hizi, watu wanataka miujiza na ishara na hawaipati wanaishia kutapeliwa. Fahamu kwanza maisha ya wokovu ndio utaweza kuandika hoja yako vizuri maana utakuwa nuruni na kweli utaijua na itakuweka huru kuliko kuandika hoja hii ukiwa gizani utaonekana unafanya yaleyale unayoyaona si ya kweli. Fahamu makanisa ya kiroho