DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa watanzania

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kibaya zaidi kajianika ye ni wa wapi
anaandika utafiti wakati naye yuko gizani anatapatapa aamini wapi. Huko anakopatukuza ndio kubaya afadhali hawa matapeli tunajua uongo wao ila wamewakamata fahamu wajinga wasiojua mambo ya imani
 
Dini zilianza pale tu mjinga wa kwanza kuwahi kutokea duniani alipokutana na tapeli nambari moja kuwahi kutokea.

Wanawake huwaambii kitu na haya makanisa ya private.

Safi sana kwa hii elimu.
 
🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha wale watoa taarifa za Aubert Angel's... Mzee wa miracle money.. Aloooh mbinguni Kuna watu watapanusa tu... 🤣🤣
Mbinguni hapatafikika kirahisi alooh!!😂😂😂
 
Ni wewe tu usie na upako ndio unamuona ni muongo, waumini wake wanampelekea sadaka na mambo yao yanawanyookea.
 
Ni wewe tu usie na upako ndio unamuona ni muongo, waumini wake wanampelekea sadaka na mambo yao yanawanyookea.
Kuwanasua watu kutoka kwenye utando (spider web) ni vigumu sana, kama ilivyo vigumu ngamia kupita kwenye tundu la sindano!
 
Dini nayo ishageuka biashara tu sikuhizi!
 
Mjini shule shamba darasani🤸‍♂️🤸‍♀️🤸🤸‍♂️🤸‍♀️🤸🤸‍♂️🤸‍♀️🤸
 
Kila mtu ana motives zake, iwe kuanzisha thread au kuanzisha dini. Haiwezekani makanisa yote ya kisasa yakawa fake, na haiwezekani waandishi wa thread kama zako wote wakawa fake. Usifanye generalization kwa kutumia matukio ya kuhadithiwa.
 
Umejuaje kama ni mmoja🤣 wawaigizaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…