DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa watanzania

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mleta mada ni mlutheran. Muhimu uchunguzi ni mzuri sana.
 
Wajinga ndio waliwao. Wakale wapi sasa!!
 
Dini ni ujinga wa mwisho kabisa duniani, bora ukubali uwepo wa Mungu sio hizi dini, iwe kiislam au Kikristo, zote ni wizi mtupu na ni wauaji wakubwa.
 
CPCT (umoja wa makanisa ya kipentecost Tanzania) walishaweka tamko wiki mbili zilizopita kwamba, hao kina mwamposa, geordavie na takataka zingine zote zenye miujiza feki, sio walokole, na hawawatambui, pamoja na kwamba wao wanapenda kuvaa kanzu ya ulokole. hivyo mtakapojadili hapa tunaomba muwaondoe wapentecost wote, muwajadili hao manabii feki ambao sio wapentecoste.
 
Na wewe ni Shaba
 
Tatizo wanasambaratisha hadi familia, ndoa nyingi sana zinavunjika, watoto wanatangatanga, na wao hawajali kabisa hao manabii fake
Kipindi tulichopo sasa waumini wengi wanaamini kwenye miujiza zaidi kuliko kuwa na imani thabiti, kutangatanga kwao kunatokana na kuona miujiza sehemu fulani hivyo ndio chanzo cha wao kuelekea huko. Hivyo tuache kuamini miujiza zaidi.
 
Unaangolea Imani alafu unashangaa Imani ya wale, wakati na wewe ya kwako ni Imani ?

Unless haupo kwenye Imani fulani, lakini kama upo it's like a Kettle calling a Pot Black...
 
Eti Kuna kanisa mhubiri wakiume amevaa kilemba halafu anahubiri anasema Yesu akirudi kanisa atakalokuta limesimama ni RC lakini hivi VIBANDA vingine hamna kitu. Wakati huo yeye sio RC.
Waumini waliopo kwenye hicho kibanda wakashangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…