DOKEZO Responded Uchunguzi ufanyike Kituo cha Afya Mbande, kuna matumizi mabaya ya madaraka, uonevu, ukiukwaji wa haki za watumishi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Chawa huwaoni nyuzi za hivi kuja kutolea ufafanuzi, ila waguswe wezi na wala rushwa kutoka white house utaona hayo maandiko ya akina mwashambwa na TAKATAKA zingine..

Anyway share huu uzi wako Tweeter(X) then zitag accounts za viongozi wakubwa/wanaharakari kule dakika chache majibu yanakuja tofauti na huku JF viongozi wenyewe wanapita kimya kimya
 
Kwa Tanzania JF siyo platform ndogo.

Niamini mimi huyu mleta uzi huko kazini kwake tayari kumewaka.
 
Back
Top Bottom