Chawa huwaoni nyuzi za hivi kuja kutolea ufafanuzi, ila waguswe wezi na wala rushwa kutoka white house utaona hayo maandiko ya akina mwashambwa na TAKATAKA zingine..
Anyway share huu uzi wako Tweeter(X) then zitag accounts za viongozi wakubwa/wanaharakari kule dakika chache majibu yanakuja tofauti na huku JF viongozi wenyewe wanapita kimya kimya