A
Anonymous
Guest
Ndugu Anayehusika,
Tunawasilisha malalamiko haya tukiomba taasisi yenu ifanye uchunguzi kuhusu stahiki za fedha za kujikimu kwa walimu wapya.
Walimu wa ajira mpya tunalazimishwa kuandika barua zenye kiasi cha pesa pungufu. Badala ya 130,000/= kwa siku saba, tunaambiwa ni 80,000/=.
Tunadaiwa kuibiwa haki zetu, na tunapouliza kuhusu suala hili, tunatishiwa kuhamishiwa na kupelekwa kisiwani.
Pia soma: Ridhiwani Kikwete: Naelekeza Waajiri tengeni bajeti kuwalipa Fedha za Kujikimu Waajiriwa Wapya