Uchunguzi wa maiti ya BOSEMAN CHADWICK

Uchunguzi wa maiti ya BOSEMAN CHADWICK

inawezekana kweli wamemuua maana kwa filamu aliyoifanya ilimpa umaarufu sana lakini kama ni mfatiliaji vizuri utakuta umaarufu mkubwa kwenye media zao kaubeba yule dogo aliyekuwa Adui maarufu kama MJ. Ukimwangalia Chadwick sio mtu wa kupenda makuu na anaonyesha Africanism ile aliyoicheza kwenye Wakanda tabia hizi wakuu na watu wa holywood hawapendagi kwa kuwa inakwamisha Agenda zao....
2. Vyombo kama cnn na bbc ni baadhi tu ya vyombo vyenye propaganda sana ukiona kuna kitu wanakikazania sana jaribu kuzunguka nyuma ya pazia kasome vizuri Mfano. ishu ya Trump utaona media nyingi na marais waliopita wanampiga vita lakini ukisoma ukweli wa mambo aliyofanya Trump utamchukia Obama milele. SOLUTION ni kujitahidi kusoma as many sources as possible soma Media za US, Russia, UK, China, Africa, Korea, Japan na zingine kisha chakata taarifa bila kusahau conspiracies zote soma halafu fanya tathimini binafsi vinginevyo usikubali chanzo kimoja cha taarifa kukufikisha kwenye hitimisho na uamuzi.
3. UBAGUZI WA RANGI sio kitu halisia ni propaganda za kucheza na akili zetu. Mtu akikunyima haki yako ni amekunyima tu haki yako ashughulikiwe kwa kukunyima haki yako kama mwananchi na sio rangi yako, tusiingize sababu za rangi kwa sababu zinatufanya tuzidi kuwa wanyonge na kuonekana kama hatuna haki kama wengine.
AMKA AFRIKA
AMKA AFRIKA
Umeanza vizuri. Ila umekuja kuharibu kwenye ubaguzi wa rangi. Usiwe ignorant. Ubaguzi wa rangi upo bana. Mwisho wa siku utasema hata utumwa haukuepo ilikua ni mchezo tu. Mbona tuna justify sana vitu
 
Huyo dogo alichallenge white system? Huwezi ukasema ile movie kachallenge white system ile movie siyo yake yeye muigizaji ile movie imetengenezwa na marvels studios hivyo yeye si mhusika wa story wala chochote, bali ni kufuata script aliyocheza. Sasa muandishi wa story na mtengeneza movie ndiye kama ilitakiwa auawe angeuawa yeye maana bila yeye hakuna black panther.
Ile movie ya black panther ilikuwa achezege Wilsey Sniper kitambo uko 94 ..lakini akaja kucheza huyu marehemu Boseman, hivyo sioni kama anahusika na hiyo story moja kwa moja ..maana yeye ni muigizaji tu..
 
Back
Top Bottom