inawezekana kweli wamemuua maana kwa filamu aliyoifanya ilimpa umaarufu sana lakini kama ni mfatiliaji vizuri utakuta umaarufu mkubwa kwenye media zao kaubeba yule dogo aliyekuwa Adui maarufu kama MJ. Ukimwangalia Chadwick sio mtu wa kupenda makuu na anaonyesha Africanism ile aliyoicheza kwenye Wakanda tabia hizi wakuu na watu wa holywood hawapendagi kwa kuwa inakwamisha Agenda zao....
2. Vyombo kama cnn na bbc ni baadhi tu ya vyombo vyenye propaganda sana ukiona kuna kitu wanakikazania sana jaribu kuzunguka nyuma ya pazia kasome vizuri Mfano. ishu ya Trump utaona media nyingi na marais waliopita wanampiga vita lakini ukisoma ukweli wa mambo aliyofanya Trump utamchukia Obama milele. SOLUTION ni kujitahidi kusoma as many sources as possible soma Media za US, Russia, UK, China, Africa, Korea, Japan na zingine kisha chakata taarifa bila kusahau conspiracies zote soma halafu fanya tathimini binafsi vinginevyo usikubali chanzo kimoja cha taarifa kukufikisha kwenye hitimisho na uamuzi.
3. UBAGUZI WA RANGI sio kitu halisia ni propaganda za kucheza na akili zetu. Mtu akikunyima haki yako ni amekunyima tu haki yako ashughulikiwe kwa kukunyima haki yako kama mwananchi na sio rangi yako, tusiingize sababu za rangi kwa sababu zinatufanya tuzidi kuwa wanyonge na kuonekana kama hatuna haki kama wengine.
AMKA AFRIKA
AMKA AFRIKA