After a long time of usage and public checkability! I have noted that:
1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025.
Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za bure
kuringe sawere Timbiri
Hawa viongozi hawana tena Vision na nchi hii,Kwao kilichobaki ni kuiba mali za umma na kujilimbikizia mali tu !!
zote ni fedha za umma...walijimilikisha maeneo na viteg ucumi vilivyokuwa mali ya umma enzi za chama kimoja chama dol...it was fully funded by government