Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Sasa Bilnass anarap nini zaidi ya kuwatumia wasanii wakubwa waimbe kwenye nyimbo zake halafu yeye apite kidogo tu kwisha!!!na Darassa pamoja na Billnass? Kwanini Young Lunya?
Mwache tu ashiriki na yeyeMtu kama huyu anawezaje kushindana na mtu kama Shallipopi, Qing Madi, au Nkosazana Daughter wa Afrika Kusini?
Inawezekana ijapokuwa mwisho wa siku mbuzi lazima aambulie majani tu!!!Ipo hivyo from bottom to top, siyo elimu siyo siasa, kila kitu kinaenda shaghala baghala, anamjua Nasty=C kweli? Kwenda kumshindanisha na lunya? We are not serious.
Itakuwa sio jambo la kushangazaUtashangaa wanaibuka na tuzo
Mnyamwezi kabisa huyoJamaa kwenye particular aliua sana
Wachaga sio WachangaHao si ndo wachanga wazee wa kubebana,
Alafu kuna mtu analiaaa kabisaHakuna kitu hapaa.
Kubugi kivipi?Brother your legend of the legends
Lakini hapa tumebugi
Darassa CMB , Alisha semaga wazi haitaji TUZO ili kupima ubora wake ๐tuzo za msanii bora wa hip-hop darassa, nyimbo bora ya Mwaka "dharau, dah.
Brother, you're the legend of legends.Brother your legend of the legends
Huyu Abby kashinda tuzo.Kubugi kivipi?
Watakuja kusema waliofuatilia mie muziki sio sanaHuyu Abby kashinda tuzo.
Au nalikuwa mshiriki tuzo