Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Sasa Bilnass anarap nini zaidi ya kuwatumia wasanii wakubwa waimbe kwenye nyimbo zake halafu yeye apite kidogo tu kwisha!!!na Darassa pamoja na Billnass? Kwanini Young Lunya?
Hata sijui mara ya mwisho Billnass kutoa hitsong mwenyewe bila kumshirikisha mtu ni lini maana ni kitambo mno.