Uchunguzi: Watanzania tukikosa tuzo kwenye vipengele hivi 2 kwenye Trace Awards usiku wa leo wa kulaumiwa ni Seven Mosha!

Uchunguzi: Watanzania tukikosa tuzo kwenye vipengele hivi 2 kwenye Trace Awards usiku wa leo wa kulaumiwa ni Seven Mosha!

na Darassa pamoja na Billnass? Kwanini Young Lunya?
Sasa Bilnass anarap nini zaidi ya kuwatumia wasanii wakubwa waimbe kwenye nyimbo zake halafu yeye apite kidogo tu kwisha!!!

Hata sijui mara ya mwisho Billnass kutoa hitsong mwenyewe bila kumshirikisha mtu ni lini maana ni kitambo mno.
 
Ipo hivyo from bottom to top, siyo elimu siyo siasa, kila kitu kinaenda shaghala baghala, anamjua Nasty=C kweli? Kwenda kumshindanisha na lunya? We are not serious.
Inawezekana ijapokuwa mwisho wa siku mbuzi lazima aambulie majani tu!!!
 
Kama Bill Nas, Darasa na Yung Lunya wanaimba Hip hop basi hip hop itakua imeshuka kiwango kwa kasi
 
Back
Top Bottom