UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

Unapoandika juu ya Bingwa wa Ulaya mara tano lazima umpe heshma yake.Kombe linaenda Anfield.Nitakukumbusha siku hiyo na Salah anabeba Baron d'or.
Sasa bingwa mara Tano liver hutambui Bingwa wa Mabingwa ni Nani? and hiyo Michuano ilishabadilishwa jina na Kuitwa
cristiano-league-the-new-champions-league-logo-has-been-announced-29501809.png
 
NI KUMBUKUMBU TU MSIOGOPE SANA WANA LIVERPOOL
uefa.PNG
 
Kwa uchezaji ule wa jana, Liverpool hawawezi kuhandle pressure ya Madrid hata kidogo.
Na ule uchezaji wa mechi ya kwanza
Anfield , madrid wataweza kweli kuhandle pressure ya liverpool ? Acha kukalili mzee baba
 
Na ule uchezaji wa mechi ya kwanza
Anfield , madrid wataweza kweli kuhandle pressure ya liverpool ? Acha kukalili mzee baba
Tatizo lako unaleta ushabiki wakati wenzio wanaongea uhalisia afu hutaki kukubali kwamba liverpool sio level za real madrid.
 
Yule mwarabu atawaua tuuu!!....Siku hiyo anaamka na allah!!....Leo amenichekesha sana kwani kuna saa liverpool walikuwa wanazuga ili muda uende ila mwarabu akawa anapinga hilo swala yeye anataka mpira upigwe mbele ili akafunge!!
Teh teh teh hayawi hayawi yamekuwa
 
Back
Top Bottom