Mwambwaro
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,309
- 3,522
Ndio huwa wanapanda Sana Sasa wanakutana na forward wenye kasi na speedkumbe wakina marcelo,ramos na wenzake ni wabovu sana ,nilikua sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huwa wanapanda Sana Sasa wanakutana na forward wenye kasi na speedkumbe wakina marcelo,ramos na wenzake ni wabovu sana ,nilikua sijui
Hapana mkuu. Moja kati ya mabek bora kabisa wa kati wanaomaliza muda wao katika football ni Sergio Ramos.Kwani ww unaffikili ana Safu ya ulinzi pale, hawana walinzi wa nyuma, except Marcello the last are Worse, Ramos ni Rafu rafu tu
Vipi kwenye la liga huko hatafuti ushindi hadi kuchukua kombe?Madrid ni team pekee inayojua kutafuta ushindi.
Wakati wanakula 3 kwa spurs nyie wadandia timu za watu mlikuwa wapi?Hapana mkuu. Moja kati ya mabek bora kabisa wa kati wanaomaliza muda wao katika football ni Sergio Ramos.
Ingekuwa defense yao ni mbovu basi ile game ya bayern wangekula nyingi saana
Top four anamaliza ila kubeba ndoo ya uefa hapana.Liverfools ana wakati mgumu akiwaza Uefa akisahau ligi anaweza jikuta chelsea anachukua nafasi akaporomokea Europa mwakani na kuchukua ubingwa wa Uefa asahau Tottenham anamshusha Chelsea anampapasa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nawaona mashabiki wa liverpunga wanavyo jifariji na matokeo yaliyopita ya madrid kufungwa 3 na spurs, poleni sana timu yenu haina uwezo wa kuifunga madrid, tena katika fainal labda. mnajifarij tu lakin ukwel mnaujua.
No predictions .90 minutes will decide.Your predictions...
Kujifariji ni kuzuri Sana, jipe moyo utayashinda majaribu.Ngoja mjifariji,Liverpool ni imani,Liverpool ni roho,Liverpool siyo masupa star,kama hamkuona Leicester city anatwaa EPL hata Ureno anabeba EURO nayo hamkuona? Hamkuona Trump anaingia Whitehouse naye hamkumuona? Liverpool ya 2005 hamkuiona pia? Haikuwa na mfungaji Bora wa EPL na kwenye msimamo ilikuwa namba Tano,haikuwa imefunga magoli kuliko timu zote Uefa na hakukuwa na mtu wa Kariba ya Mane .Mimi nasema,kwa heshma ya Oxdale na baba Billy Shankly,Kiev patawaka moto na Hendo ananyanyua kwapa.Mungu siyo Magufuli Wala Humphrey polepole.Brazil ikiwa na 3Rs zilizotisha 1998,alitandikwa na timu ya viungo na mabeki watupu Ufaransa.Yetu macho lakini Ndoo inatua Merseyside.Jogoo anaenda kuiteka Dunia.
Umeandika vitu vingi sana ndugu yangu, ukijua umeandika Point, kumbe ni pumba tupu Ambazo hata Nguruwe hawezi kuzila,Ngoja mjifariji,Liverpool ni imani,Liverpool ni roho,Liverpool siyo masupa star,kama hamkuona Leicester city anatwaa EPL hata Ureno anabeba EURO nayo hamkuona? Hamkuona Trump anaingia Whitehouse naye hamkumuona? Liverpool ya 2005 hamkuiona pia? Haikuwa na mfungaji Bora wa EPL na kwenye msimamo ilikuwa namba Tano,haikuwa imefunga magoli kuliko timu zote Uefa na hakukuwa na mtu wa Kariba ya Mane .Mimi nasema,kwa heshma ya Oxdale na baba Billy Shankly,Kiev patawaka moto na Hendo ananyanyua kwapa.Mungu siyo Magufuli Wala Humphrey polepole.Brazil ikiwa na 3Rs zilizotisha 1998,alitandikwa na timu ya viungo na mabeki watupu Ufaransa.Yetu macho lakini Ndoo inatua Merseyside.Jogoo anaenda kuiteka Dunia.