UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

Ukitaka kujua ubora wa Liverpool angalia first leg hizo second leg zitakupoteza tu..hapo Madrid waleteni tu maana maneno yenu tumeyazoea mpka tunafika final,we have a tale to tell!!
 
Yule mwarabu atawaua tuuu!!....Siku hiyo anaamka na allah!!....Leo amenichekesha sana kwani kuna saa liverpool walikuwa wanazuga ili muda uende ila mwarabu akawa anapinga hilo swala yeye anataka mpira upigwe mbele ili akafunge!!
mwarabu atafunga moja...Madrid watafunga tano
 
timu mbovu zote, yeyote anaweza kuwa bingwa.
 
Naiona fainal rahis sana kama ile ya juventus na barcelona 2015
 
Liver anabeba hii ndoo tena inaweza kuwa kirahisi kuliko tunavyodhani.......................
 
Mkuu usisahau mpira hudunda. Mwezi July 2017 wapenzi na mashabiki wengi wa soka duniani ungewaambia Liverpool watacheza na Madrid kwenye UEFA Finals asilimia kubwa wangekataa.

Kwenye paper Liverpool hawawezi kushinda kwenye mechi hiyo lakini wanaweza kuja na ari kubwa sana na kosa moja tu la Madrid likawapa bwawa la maini ubingwa. Tusubiri May 26 tuone Mkuu.
Mkuu kabla ya mechi kuanza wachezaji wote wa Madrid huwa wanaenda kunusishwa medali za dhahabu. Kisha wanaulizwa mmezisikia.? Then wanaenda uwanjani. Habari yake utaniambia tar 26. Liver wanaenda tu kukamilisha ratiba. Madrid ananyanyua kwapa.
 
Mapungufu ya madrid yapo katika eneo gani?? Kwangu upungufu upo kwa striker tuu. Benzema sio wakuaminika.
Benzema usimchulie poa kabisa. Hata kama hafungi ila mchango mkubwa sana. Ananyumbulika sana.
 
Mwarabu leo kapoteaa. Liva defense yake hamna kitu. Refa kawabeba. Yule dogo namba 66 alikuwa anachomesha wenzake tuu
Goli mbili za penati ambazo refa mwingine hatoi. Goli moja milner kawapa wala haikuwa move ya maana so ni kama goli 3 hivi
Lakini madrid kapigwa goli 3 na bayern na 3 na juve wakiwa wameshikwa kila upande. Utasema ile beki iliyoipa bayern nafasi kama 10 sema striker wao wajinga ndio ina beki bora??
 
Tatizo.mashabiki.wa Man wana uchungu kama mwanamke mwenye.mimba.
Acha dawa iwaingie
 
Hujawai kuona fainal rahisi. mpira umeanza kushabikia na kufatilia lini?
 
Wachambuzi wa humu ndani ni full burdan, tulipangwa na Man City wakatufungisha virago.

Tukapangwa na Roma wakatutoa, eti kwa vile Roma ilimtoa Barca.

Sasa naona kombe mshampa Madrid.

The next time tunasubiri kauli zenu za Liverpool imebahatisha.
 
Naiona fainali ya mteremko kwa Real, liver ina mapungufu makubwa sana kwenye defense.
Tarehe 26.05.2018 ni ile siku waingeteza watasingizia THE BEST TEAM LOST!
Utashangaa...Liverpool si ya kubeza. Real wana matatizo pia sehemu zote. Watu walishindwa kuona kuwa kuwemo kwa Salaah kuliwapa nafasi wenzake Kufunga. Walinzi wa Roma waliwekeza nguvu na akili zao kwake wakiwapa fursa wafungaji wengine!
 
Hainiumi, ila napenda mfungwe sababu mnaongea sana, sio nyie tu bali hata waingereza na wana habari wao, hamuwapi timu zingine heshima zinazostahili, hivyo nataka timu ziwadhihirishie kuwa wako vizuri zaidi yenu. Na sasa mmefika tamati, Real anawaua!!
Pia mmekuwa na wivu ulioputiliza Real kuingia fainali raundi ya tatu mfululizo na kwenda kuchukua ndoo raundi ya tatu mfululizo. Hii imewapa chuki moja mbaya sana.
Mkuu utaficha sura yako siku ikifika.
Utatamani kufuta hizi post zako.
 
Real ataaibika japo ningependa ashinde. Wapo vulnerable sana. Bayern wamemshindwa kwa kuwa na fowards wenye juhudi lakini wasio makini. Mbele ya SSR, utaona
 
Back
Top Bottom