UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

Kwani ww unaffikili ana Safu ya ulinzi pale, hawana walinzi wa nyuma, except Marcello the last are Worse, Ramos ni Rafu rafu tu
Hapana mkuu. Moja kati ya mabek bora kabisa wa kati wanaomaliza muda wao katika football ni Sergio Ramos.

Ingekuwa defense yao ni mbovu basi ile game ya bayern wangekula nyingi saana
 
Wakati wanakula 3 kwa spurs nyie wadandia timu za watu mlikuwa wapi?
 
Liverfools ana wakati mgumu akiwaza Uefa akisahau ligi anaweza jikuta chelsea anachukua nafasi akaporomokea Europa mwakani na kuchukua ubingwa wa Uefa asahau Tottenham anamshusha Chelsea anampapasa
 
Top four anamaliza ila kubeba ndoo ya uefa hapana.
 
Beki ya Liverpool inamapungufu Kama ilivyo kwa Madrid fowardline itakayoweza kutumia nafasi vizuri ndie atakaeibuka na ubingwa.

Pamoja nakusema hayo bado ukuta wa Madrid ni wakiwango cha dunia tofauti na ukuta wa Liverpool hivyo ni rahisi kugundua makosa yao kwa haraka na kuyarekebisha.
 
Kwa uchezaji ule wa jana, Liverpool hawawezi kuhandle pressure ya Madrid hata kidogo.
 
Nawaona mashabiki wa liverpunga wanavyo jifariji na matokeo yaliyopita ya madrid kufungwa 3 na spurs, poleni sana timu yenu haina uwezo wa kuifunga madrid, tena katika fainal labda. mnajifarij tu lakin ukwel mnaujua.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ngoja mjifariji,Liverpool ni imani,Liverpool ni roho,Liverpool siyo masupa star,kama hamkuona Leicester city anatwaa EPL hata Ureno anabeba EURO nayo hamkuona? Hamkuona Trump anaingia Whitehouse naye hamkumuona? Liverpool ya 2005 hamkuiona pia? Haikuwa na mfungaji Bora wa EPL na kwenye msimamo ilikuwa namba Tano,haikuwa imefunga magoli kuliko timu zote Uefa na hakukuwa na mtu wa Kariba ya Mane .Mimi nasema,kwa heshma ya Oxdale na baba Billy Shankly,Kiev patawaka moto na Hendo ananyanyua kwapa.Mungu siyo Magufuli Wala Humphrey polepole.Brazil ikiwa na 3Rs zilizotisha 1998,alitandikwa na timu ya viungo na mabeki watupu Ufaransa.Yetu macho lakini Ndoo inatua Merseyside.Jogoo anaenda kuiteka Dunia.
 
Kujifariji ni kuzuri Sana, jipe moyo utayashinda majaribu.
 
Umeandika vitu vingi sana ndugu yangu, ukijua umeandika Point, kumbe ni pumba tupu Ambazo hata Nguruwe hawezi kuzila,
Umeitaja leicester iliyo chukua Epl Lakini ukumbuke ilikuwa ina watu ambao sio wa mchezo mchezo Ngolo kante na drinkwater pale kati, unajua shughuri za hao watu, mahrez, okazaki, na vardy achana na hao, Morgan na Hulth kule nyuma, Timu zote kubwa unazozijua wewe pale England alichukua point nyingine ni 6 kabisa. Hivyo usitake kuniaminisha kuwa walibahatisha.
Ureno ilichukua Euro kutokana na Word class player aliyekuwa nae CR7, jeshi la mtu mmoja. Umemzunguzia Trump kushinda Urais Marekani sijui sana Mambo ya siasa, lakini nafikiri hujui kwa nini ameshinda, Usitake kutuaminisha kuwa Alishinda kwa bahati.
Liverpool iliyo chukua UEFA 2005 unesema haikuwa na watu waliyokuwa na kariba ya MANE jua unawatukana wana Liverpool, labda nikukumbushe tu baadhi wa wachezaji ambao walicheza, Steven Gerrard, huyu ndo alikuwa man of the Match sidhan kwa sasa hivi kuna mtu wa kumlinganisha nae pale liver, jimie carragher, Xabi Alonso, Luis Garsia, Arne riiise( huyu shughuli yake sio mchezo) Djibril cisse. Hao ni baadhi tu ambayo kwa shughuli waliyo ifanya Instabul kwa sasa huna wechezaji wenye roho ngumu kama wale.
Na nikukumbushe tu kocha alikuwa banitez ambae msimu uliopita 2004 alichukua UEFA na Valencia. Hivyo Uzoefu wa kucheza game za Fainali Alikuwa nao. Brasil ilifungwa na timu ya Viungo tupu na mabeki hiyo sio Hoja, je liver ina viungo wa kuizuia Madrid. Kwa Ujumla mashabiki wa liver mnajifariji tu, Hamna timu ya kuifunga Madrid. Hii fainali naifananisha na Barcelona na Juventus Watu wasiojua mpira waliongea sana baada ya juve kumtoa Madrid kuwa anaenda kuchukua kombe lakin kilicho tokea unakijua, Hebu angalia alikopita Barcelona hadi kuja kuchukua kombe afu angalia alikopita Madrid, Usinipe jibu sa hiv nitafute Mei 27 ila kuanzia saa 4 maana ntakuwa nimetoka kanisani. A por la 13.
 
Referee alikua upande wa Liverpool. Penalt 2 sambaba na Red card alivifumbia macho
 
Back
Top Bottom