Sasa bingwa mara Tano liver hutambui Bingwa wa Mabingwa ni Nani? and hiyo Michuano ilishabadilishwa jina na KuitwaUnapoandika juu ya Bingwa wa Ulaya mara tano lazima umpe heshma yake.Kombe linaenda Anfield.Nitakukumbusha siku hiyo na Salah anabeba Baron d'or.
Tutakumbushana siku hiyoSasa bingwa mara Tano liver hutambui Bingwa wa Mabingwa ni Nani? and hiyo Michuano ilishabadilishwa jina na Kuitwa
Na ule uchezaji wa mechi ya kwanzaKwa uchezaji ule wa jana, Liverpool hawawezi kuhandle pressure ya Madrid hata kidogo.
Tatizo lako unaleta ushabiki wakati wenzio wanaongea uhalisia afu hutaki kukubali kwamba liverpool sio level za real madrid.Na ule uchezaji wa mechi ya kwanza
Anfield , madrid wataweza kweli kuhandle pressure ya liverpool ? Acha kukalili mzee baba
Bila kukosaTutakumbushana siku hiyo
Teh teh teh hayawi hayawi yamekuwaYule mwarabu atawaua tuuu!!....Siku hiyo anaamka na allah!!....Leo amenichekesha sana kwani kuna saa liverpool walikuwa wanazuga ili muda uende ila mwarabu akawa anapinga hilo swala yeye anataka mpira upigwe mbele ili akafunge!!
Haters![emoji53][emoji53][emoji53]Teh teh teh hayawi hayawi yamekuwa
Mtabiri.mzuriNaiona fainali ya mteremko kwa Real, liver ina mapungufu makubwa sana kwenye defense.
Tarehe 26.05.2018 ni ile siku waingeteza watasingizia THE BEST TEAM LOST!
Pole mkuuHaters![emoji53][emoji53][emoji53]