Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #41
Inabidi wafunge magoli manne au matano,nina imani kuna magoli matatu ya PSG
[emoji23]Hahah unaangalia faida sio[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo katika hisia zangu nayaona maajabu yanaenda kutokea huku ndani ya PSG kukiwa na ahadi nyingi kutoka kwa mwarabu wao kama mmiliki wa club.
PSG kama watashindwa kushinda mechi hii basi wasitarajie tena kufika robo fainal ya UCL.
Maoni yangu:
PSG kama watahitaji heshima ya kuwa club kubwa kama wenzao Bayern au big club ambazo zimewahi kutwaa ubingwa wa mabingwa wa ulaya, basi wanatakiwa kushinda game ya leo japo battle itakuwa kubwa sana.
Hivo basi kama leo PSG atashinda utabiri wangu ni huu
[emoji116][emoji116][emoji116]
Correct score PSG 2:1 Bavaria.
Nashangaa watu Bavarians wanavyoichukulia
Haina ubishi hiyoBayern, ndoo ni halali yao
Kiukweli Bavarian wapo vizuri kwenye kutumia nafasi sio Kama psgKwa haya maneno kazi imeisha,
Psg pasi zake apigie huko huko golini kwake,
Bayern wanamkabia juu, yaan wanakuja kukukaba kwenye nusu yako.
Hadi kipa wako ukimpa pasi nae anakabwa.
Sioni psg akitembea game ya leo.
Akijifanya kufunguka, YA Barcelona yatamuhusu.
Google kuna apk ya app ya ghd sport,pakua hiyo ina chanel za kuangalia liveNaomba link ya kutazama hii mechi tafadhali
Unaachaje kumtaja Serge Gnabry kwenye attacking ya Bayern na unaachaje kumtaja Ángel Di Mária kwenye attacking ya PSG.Leo jumapili ya 23/08/2020 baada ya watu kumaliza shughuli zao, kazi itakuwa ni moja tu, huko Estadio da Luz, nchini Ureno ambapo kutapigwa Fainali ya aina yake kati ya PSG Vs Bayern Munich.
Ni fainali inayowakutanisha PSG ambao wameingia fainali yao ya kwanza dhidi ya mabingwa mara 5 wa kombe hilo Bayern Munich.
Ni Fainali inayozikutanisha timu zinazocheza mpira wa kushambulia tangu dakika ya kwanza mpaka ya mwisho, hasa Bayern Munich yenye vijana wenye kasi sana!
PSG itaingia uwanjani ikiwategemea zaidi Neymar na Mbappe huku Bayern Munich maarufu kama "The Bavarians" wakiwategemea zaidi Mshambuliaji hatari zaidi kwasasa ulinwenguni Robert Lewandowski na Thomas Muller mzee wa nafasi.
Bayern Munich anapewa nafasi kubwa ya kutwaa ndoo kutokana na soka lao linalotengeneza zaidi nafasi nyingi za magoli.
Mechi itapigwa saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki!
Utabiri wangu ni baada ya mechi kuisha namuona Captain Thiago Silva wa PSG akienda kubeba ndoo! PSG atashinda 2-1
Tupia na wewe utabiri wako...
View attachment 1545677