Match ya leo itaamuliwa na nani yupo clinical kwenye kutumia nafasi alizozipata.It is mouthwatering showdown
Bayern wakianza mechi kama walivyocheza na Lyon watapoteana..Mbappe,Neymar na Di Maria hawataacha kuwaadhibu
3-2..PSG wins it
ShukranGoogle kuna apk ya app ya ghd sport,pakua hiyo ina chanel za kuangalia live
Na mimi natafuta link, maana nimejaribu bein sport kuangalia game zilizo live, naambiwa ni download app ya bein sport.Naomba link ya kutazama hii mechi tafadhali
Unaachaje kumtaja Serge Gnabry kwenye attacking ya Bayern na unaachaje kumtaja Ángel Di Mária kwenye attacking ya PSG.
Mkuu huwezi kuwa serious.
Wale wa psg tujuane mapema.. Leo mjerumani atatembelea kiuno ka penguin
PSG mshindi UCL 2019/2020
neymer 3,16 &73 lowendosk 21(pen)
mbape 65
maquinho 32
Kwa mtiti was Bayern niliouona kuanzia kwa Arsenal, Tottenham, Chelsea, Barcelona, Lyon, sihitaji kujitesa kisaikolojia kwa kutabiri mbo magumu sana mwisho nikatizame mechi kwa tabu nasotea utabiri wangu utimie ili nipongezwe hapa.
mbona hata hii app ni kama ina process nyingi sana.Google kuna apk ya app ya ghd sport,pakua hiyo ina chanel za kuangalia live