UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

It is mouthwatering showdown

Bayern wakianza mechi kama walivyocheza na Lyon watapoteana..Mbappe,Neymar na Di Maria hawataacha kuwaadhibu

3-2..PSG wins it
Match ya leo itaamuliwa na nani yupo clinical kwenye kutumia nafasi alizozipata.
 
Yan mechi ya Leo itaamuliwa na utumiaji mzuri wa nafasi basi hakuna cha ziada kabisa mana timu zote mbili ni viburi wa kumiliki mpira,,,,,,ila raha ya mechi ya Leo ni kuicheki kibanda umiza aisee siyo nyumbani kwakweli mana uko umizani ndo kuna vibe LA maana kudadadeki sipati picha iyo battle ya apo katikati ya uwanja
 
Kwa mtiti was Bayern niliouona kuanzia kwa Arsenal, Tottenham, Chelsea, Barcelona, Lyon, sihitaji kujitesa kisaikolojia kwa kutabiri mbo magumu sana mwisho nikatizame mechi kwa tabu nasotea utabiri wangu utimie ili nipongezwe hapa.

Mpira unadunda mkuu
 
Kikosi cha PSG
Adjustments.JPG
 
Back
Top Bottom