UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

Nasikia harufu ya Bayern kulizwa
IMG_20200823_223609_941.jpg
 
Paris kuna watch party inaendelea. PSG leo wamewaruhusu watu kuingia Parc des Princes kushangilia timu yao. Yaani ni vurugu balaa. Ninachoona mimi wataambukizana corona na kipigo juu,na hizi bendera zao bora wakate vipande mapema ili viwasaidie kufuta machozi.
 
Mliopo Germany hebu tuthibitishieni kuwa huko kuna timu zinatumia ndumba katika soka au la?
Maana haiwezekani hawa bayern mwanzo mwanzo wanakoswa wao tu tena nafasi za wazi! mwisho wenyewe ndio washindi rejea game zao za karibuni ukianzia ile mechi na barcelona
 
Jamani wengine tunafuatilia mechi kupitia comments zenu mnaotazama live, tafadhali msikae kimya sana!
 
Back
Top Bottom