UCL: Hatua ya Robo Fainali kuanza kupigwa leo

UCL: Hatua ya Robo Fainali kuanza kupigwa leo

Licha ya kutanguliwa lakini anamiliki sana mpira kifupi dk hizi kadhaa zipo chini ya Bayern, ila PSG wanapopata nafasi hawakosei maana walishapiga la pili ikawa ni offside
Yes.
Navas kaokoa sana. Bayern watapata goli kabla ya HT. Sema hawana Ginabry mtumbad sana
 
PSG wana hasira za kufungwa kwenye final mwaka Jana. Ngoja dk 90 zitimie..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom