Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Leo pia kuna mechi mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea wanafungwaNawapa nafasi za ushindi PSG na Chelsea
Anaenda kutolewa next gameMan City. CHAMPIONS[emoji1666]
Mbappe kakiwasha ngoja tuoneNawapa nafasi za ushindi PSG na Chelsea
Licha ya kutanguliwa lakini anamiliki sana mpira kifupi dk hizi kadhaa zipo chini ya Bayern, ila PSG wanapopata nafasi hawakosei maana walishapiga la pili ikawa ni offsideBayern tayari karuhusu Goli huko
Yes.Licha ya kutanguliwa lakini anamiliki sana mpira kifupi dk hizi kadhaa zipo chini ya Bayern, ila PSG wanapopata nafasi hawakosei maana walishapiga la pili ikawa ni offside
Hujakosea. Tayari wamepigwa la 2.Licha ya kutanguliwa lakini anamiliki sana mpira kifupi dk hizi kadhaa zipo chini ya Bayern, ila PSG wanapopata nafasi hawakosei maana walishapiga la pili ikawa ni offside
Washaongezwa kimoja tayari Bayern 0: PSG 2 dk 28Yes.
Navas kaokoa sana. Bayern watapata goli kabla ya HT. Sema hawana Ginabry mtumbad sana