Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Juve kwa porto bado unamashaka?Buyern ndio anauhakika ,hao wengine tusubili 90 dakika ziamue
Huko ujerumani yeyote anaekutana na liver huwa hana amani kabisa, ikiwa baba yao munchen alikaa huyo RB anapona vipi?Kuna hao vibonde wajerumani wawili Moncheglabad na RN leipzig ni wabishi sana. Watasonga mbele.
Vipi munchen anatabirika?Atapona tu mkuu kwasababu ni wabishi na hawatabiriki
Hakika mkuu hasa hao Moncheglabad nawakubali sana hapa dakika 90 ndio zitaamua tusubiri tuuKuna hao vibonde wajerumani wawili Moncheglabad na RN leipzig ni wabishi sana. Watasonga mbele.
Liverpool atachukua.Bayern haichukui tena,tusubiri.Buyern ndio anauhakika ,hao wengine tusubili 90 dakika ziamue
Nmeiona chuki yako dhidi ya Liverpool.Mkuu wanaopita ni kama ifuatavyo:;
*sevila vs B Dortmund _Sevila
*Porto fc vs juventus_juventus (kwa tofauti ndogo sana)
*barca vs paris_barca wananafasi kubwa (neymar majeruhi)
*bayern Munich vs lazio_bayern Munich
*Rb reipzig vs Liverpool _Rb reipzig (kwa kishindo)
*man city vs borusia moncheladbach_man city
*atalanta vs real madrid (atalanta ananafasi hapa, Duvani zapata,ilisic ..wako vizuri in short)
*atletico vs Chelsea _atletico kapita bila kupingwa hapa😂
..
Yote kwa yote tusubiri dk 180' zitaamua zaidi..lakini huo ndo ukwelii
#Nasikia sikia man u kapangiwa Gwambina😂😂😂😂
Watapigwa asubuhi na mapema hao Leipzig pamoja na ubishi wao.Atapona tu mkuu kwasababu ni wabishi na hawatabiriki
Mkuu Atletico hapiti kwa Chelsea tukutane FebruaryMkuu wanaopita ni kama ifuatavyo:;
*sevila vs B Dortmund _Sevila
*Porto fc vs juventus_juventus (kwa tofauti ndogo sana)
*barca vs paris_barca wananafasi kubwa (neymar majeruhi)
*bayern Munich vs lazio_bayern Munich
*Rb reipzig vs Liverpool _Rb reipzig (kwa kishindo)
*man city vs borusia moncheladbach_man city
*atalanta vs real madrid (atalanta ananafasi hapa, Duvani zapata,ilisic ..wako vizuri in short)
*atletico vs Chelsea _atletico kapita bila kupingwa hapa[emoji23]
..
Yote kwa yote tusubiri dk 180' zitaamua zaidi..lakini huo ndo ukwelii
#Nasikia sikia man u kapangiwa Gwambina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Liver upepo umeisha hawezi chukua tena mpaka ajipangeLiverpool atachukua.Bayern haichukui tena,tusubiri.