UCL: Unampa nani nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Ratiba ya Uefa Champions League hatua ya 16 bora imetoka mchana huu! Unaipa nafasi timu ipi ya kusonga mbele zaidi kwa ratiba hii? Game gani itakuvutia zaidi?

Karibuni

IMG_5551.JPG
 
On papers

Kwa uingereza hapo atapita City, Liverpool kupita labda kama majeruhi wawe wamesharejea, Chelsea hata goli tu hapati dhidi ya Atletico Madrid.

Spain kule Barcelona na Sevilla kupita nawapa 30%, Real na Atletico tuwakute robo fainali.

Ujerumani, Babalao Bayern mpaka Sasa amepita bila kupingwa, wengine ndio wanamtihani.

Italy, Juventus kapita bila kupingwa.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wanaopita ni kama ifuatavyo:;
*sevila vs B Dortmund _Sevila
*Porto fc vs juventus_juventus (kwa tofauti ndogo sana)
*barca vs paris_barca wananafasi kubwa (neymar majeruhi)
*bayern Munich vs lazio_bayern Munich
*Rb reipzig vs Liverpool _Rb reipzig (kwa kishindo)
*man city vs borusia moncheladbach_man city
*atalanta vs real madrid (atalanta ananafasi hapa, Duvani zapata,ilisic ..wako vizuri in short)
*atletico vs Chelsea _atletico kapita bila kupingwa hapa😂
..

Yote kwa yote tusubiri dk 180' zitaamua zaidi..lakini huo ndo ukwelii

#Nasikia sikia man u kapangiwa Gwambina😂😂😂😂
 
Nmeiona chuki yako dhidi ya Liverpool.
 
*atletico vs Chelsea _atletico kapita bila kupingwa hapa[emoji23]
..

Yote kwa yote tusubiri dk 180' zitaamua zaidi..lakini huo ndo ukwelii

#Nasikia sikia man u kapangiwa Gwambina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Atletico hapiti kwa Chelsea tukutane February
 
Back
Top Bottom