Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Thread starter
- #21
BAsi Mkuu tupaze sauti kuisemea hii kada adhimu kwa ustawi wa taifa.Na bado mkuu Tukiwa Tunafanya kazi tunaonekana tuna akili sana na Think tank wa Taifa kwa maswala ya afya lakini ghafla tukistaafu wanasema watutunzie Pesa kwa kuwa hatuna akili katika matumizi ya pesa..
Kingine pesa inakatwa Kodi Payee,
Halafu bado unaitwa kazi ya wito
Namkumbuka Dkt Ulimboka walichomfanyia serikali hii ni unyama wa hali ya juu.
Tuwasemee hadi kisomeke