Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone