Mimi ni Tabibu / Natural health Practitioner kutoka kampuni moja ya Kimarekani lakini asili yake ni China .
Nilisoma treatment formulas zao , kisha kufanya mitihani yao ya Kiafya , mara ya kwanza matokeo hayakuridhisha , nikasima tema online , nikafanya mtihani wao , nikafaulu , na kupatiwa Certificate kutoka USA [emoji631], Sasa hivi nafanya matibabu hapa nyumbani kupitia dawa asili zao !
KISA :
Baba yangu mdogo alipata shida ya upumuaji , so wakamkimbiza Muhimbili JAKAYA KIKWETE ; na kuwekewa Oxygen , nikiwa kama Tabibu , nilienda kumuona , so pia nikajadiliana na madaktari kwenye chumba cha ICU
Nikawauliza shida yake mzee wangu ni nini haswa ?
Wale madaktari wakaniambia ni Oxygen ndogo mwilini
So kwa elimu yangu asili nikashirikiana nao mawazo , nikawaambia kuwa Kama Oxygen ni ndogo mwilini maana yake Mzunguko wa Damu ni mdogo , kwa maana nyingine mishipa imeziba / Blood stuck or blockage
Kwa hiyo shida ni mzunguko wa damu hauko sawa mwilini mwake , na kupelekea tatizo la Oxygen
Then kwa sababu walikuwa wanampatia huduma yao , nikawaomba mimi nimfanyie FOOT MASSAGE/ REFLEXOLOGY, kwa ajili ya Kuzibua mishipa na kuwezesha Oxygen kupatikana kwa haraka ,
Nikawapa business card yangu , na kwa maelezo yangu , walistaajabu kidogo hii Plan , so wakaniruhusu .
Baba yangu mwili wote ulikuwa unamuuma , na ndio dalili kuwa mzunguko wa damu hauko sawa !
Therapy ilinichukua 3 days , Oxygen ilirudi na akapona faster , akatolewa ICU na kupelekwa Ward ya kawaida bila Oxygen, mbali na kumkuta kwenye hali mbaya sana !
So nashauri madaktari wetu ni vyema washirikiane nasi watu wa Natural Katika Critical health issues kama hizi
Maana wao hutoa dawa peke yake , na watu wengi hupoteza maisha kulinga na miili kuwa dhaifu sana na kushindwa kuhimili nguvu za dawa na kuzalisha sumu zaidi mwilini hivyo Mifumo kukwama na watu kupoteza maisha !
[emoji120][emoji120][emoji120]
View attachment 3030742