Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 = ? (Kwa bahati mbaya sizielewi maana yake.)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 = ? (Kwa bahati mbaya sizielewi maana yake.)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 = ? (Kwa bahati mbaya sizielewi maana yake.)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 = ? (Kwa bahati mbaya sizielewi maana yake.)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
weliYani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
kweli mkuu unawezaYani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 = ? (Kwa bahati mbaya sizielewi maana yake)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kweli mkuu unaweza kuwa daktari mzuri wa mifugoYani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Hana uwezo kusoma BVM huyu…Ni kweli mkuu unaweza kuwa daktari mzuri wa mifugo
Ila na Lugha tusizozijua zinasababisha ugumu. Binafsi naamini elimu ingekuwa nia ni ujuzi na ikafundishwa kwa lugha nyepesi na kwa vitendo zaidi haya mambo si magumu kama ukijifunza kwa kilatini sijui kiebrania hicho maana terminology ni ngumu hizo kweli. Binadamu akiona akafanya kwa kurudia rudia anafanya vizuri kuliko akisoma.Sawa mkuu. Hebu akajaribu kusoma kwa mazoezI (Apige tease kidogo just for pleasure) kwa kuanza na kusoma walau kama hadithi fulani hv Human Anatomy halafu afanye maamuzi kama ataendelea kujaribu pia na kaPhysiology kidogo n.k. Ukizingatia A-level hakugusa kabisa Biology, Chemistry wala Physics na Mathematics. Mbona itakuwa ni shughuli pevu kwake aisee? Waliosoma hayo masomo; wenyewe wanalalamika sembuse huyo aliyeyaacha zamani hizo za O-level.
hatariiKwanza mchakato wa kupata daftari tena yule wa degreee ahahaha aiseeee..
PCB ya moto huko advance
Mitihani utaifanya kwa technolojia? CT scan itakufanyia mtihani wa pathology? Unaongea utopiaYani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Mkuu; hapo umesema kweli kabisa.Kongole kwako. Kwa mfano Hai; huku Umasaini walikuwepo wazee wataalam wa kuunga mifupa. Kilichokuwa kinafanyika ni kwa kutumia P.O.P ya ngozi. Mtu aliyevunjika (hata kama ni multiple fracture) walichukua mguu wa ng'ombe (kongoro) kisha wanalichuna ngozi yake lakini bila kuikatakata (tenganisha) hiyo ngozi yake. i.e. wanatoa ngozi yake ikiwa intact mfano wa bomba. Ngozi ikiwa bado mbichi, Mguu uliovunjika wa Mgonjwa; huyo mzeeMtaalam unaunyoosha kwa uzoefu wake kitaalam halafu mguu unavishwa hiyo ngozi. Ngozi hiyo itaanza kukauka kwa kuunyoosha huo mguu wa mganjwa kama ilivyokuwa kwenye kongoro. Baada ya siku kadhaa ngozi hiyo itaanza kupakwa mafuta ili iwe laini isiendelee kum'binya mgonjwa kuliko inavyotakiwa. Baada ya wiki mbili (kwa mtoto) au mwezi 1 (kwa mtu mzima), mgonjwa ataweza kutembea lakini ngozi haitaondolewa mpaka hadi "mtaalam" ajiridhishe ndipo inaondolewa. Kingine kwa mfano, Vijana wakigombana na kukatana kwa sime zao, wazee huchubua aina fulani ya kamba kutoka mti fulani maalum na kushona jeraha au majeraha na majeruhi walipona vizuri kabisa. Kidonda hakiozi hata kidogo. Hayo ni baadhi tu ya utaalam wa TibaAsili zilizokuwa na mafanikio. Siku hizi zinaitwa ni za KISHENZI. Tulitakiwa tuishi na hao majamaa kwa Tahadhari - lakini ndo ivo tena tumeshakuwa Brain washed jumla.Ila na Lugha tusizozijua zinasababisha ugumu. Binafsi naamini elimu ingekuwa nia ni ujuzi na ikafundishwa kwa lugha nyepesi na kwa vitendo zaidi haya mambo si magumu kama ukijifunza kwa kilatini sijui kiebrania hicho maana terminology ni ngumu hizo kweli. Binadamu akiona akafanya kwa kurudia rudia anafanya vizuri kuliko akisoma.
Hivi, kabla ya kuja mzungu na mfumo wa elimu wa kileo, watu walikuwa wanakufa sana sababu hawatibiwi? Tulifundishwa kwa mfumo gani? Imekuaje hatuna jambo zuri hata moja kutoka huko nyuma lililochanganywa na la wazungu? Yaani kuanzia dini, matibabu mpaka mfumo wa kuishi ni wazungu wametupa?
Aisee, Tumepoteza ujuzi mwingi mno.Mkuu; hapo umesema kweli kabisa.Kongole kwako. Kwa mfano Hai; huku Umasaini walikuwepo wazee wataalam wa kuunga mifupa. Kilichokuwa kinafanyika ni kwa kutumia P.O.P ya ngozi. Mtu aliyevunjika (hata kama ni multiple fracture) walichukua mguu wa ng'ombe (kongoro) kisha wanalichuna ngozi yake lakini bila kuikatakata (tenganisha) hiyo ngozi yake. i.e. wanatoa ngozi yake ikiwa intact mfano wa bomba. Ngozi ikiwa bado mbichi, Mguu uliovunjika wa Mgonjwa; huyo mzeeMtaalam unaunyoosha kwa uzoefu wake kitaalam halafu mguu unavishwa hiyo ngozi. Ngozi hiyo itaanza kukauka kwa kuunyoosha huo mguu wa mganjwa kama ilivyokuwa kwenye kongoro. Baada ya siku kadhaa ngozi hiyo itaanza kupakwa mafuta ili iwe laini isiendelee kum'binya mgonjwa kuliko inavyotakiwa. Baada ya wiki mbili (kwa mtoto) au mwezi 1 (kwa mtu mzima), mgonjwa ataweza kutembea lakini ngozi haitaondolewa mpaka hadi "mtaalam" ajiridhishe ndipo inaondolewa. Kingine kwa mfano, Vijana wakigombana na kukatana kwa sime zao, wazee huchubua aina fulani ya kamba kutoka mti fulani maalum na kushona jeraha au majeraha na majeruhi walipona vizuri kabisa. Kidonda hakiozi hata kidogo. Hayo ni baadhi tu ya utaalam wa TibaAsili zilizokuwa na mafanikio. Siku hizi zinaitwa ni za KISHENZI. Tulitakiwa tuishi na hao majamaa kwa Tahadhari - lakini ndo ivo tena tumeshakuwa Brain washed jumla.
Kweli broo. Matokeo yake sasa yameshamiri magonjwa mengi ambayo hakuna tiba zake za uhakika huko Hospitali na Waganga/Madaktari Matapeli wameingia wakiwadanganya watu kuhusu tiba mbadala na bei au gharama zao huwa ghali sana. Wale wataalam-asili wa kweli walikuwa wanapokea shukrani tu na ni baada ya mtu kupona maradhi yake. Siku hizi ni pesa kwanza- habari ya kupona au usipone hilo utajua mwenyewe.Aisee, Tumepoteza ujuzi mwingi mno.
umenikumbusha mbali aiseemwalimu wa kiswahili ulipata ile ajira?
1. Anatomy
2. Physiology
3. Biochemistry
4. Microbiology
5. Pathology
6. Pharmacology
7. Community Medicine
8. Internal Medicine
9. Surgery
10. Pediatrics
11. Obstetrics and Gynecology
12. Psychiatry
13. Radiology
14. Emergency Medicine
15. Medical Ethics
16. Epidemiology
Ila haya ni maneno ya mkosaji, ukipewa nafasi usome udaktari hutoweza na utadrop first year...hkl hauwezi, msingi mbovu wa hesabu, kemia, biolojia nkYani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Serikali ya CCM inawasomea raia wake albadili.Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Acha upimbi wewe, hizo shule walizoacha ni Harvard mzee siyo Njuweni College of Medicine. Jinga kabisaSuala wala sio kukaa chuo miaka mingapi, hapa ndio mnako kosea. Ujuzi sio umekaa miaka mingap darasan, ndio maana akina bill gates waliacha shule, wote akina zuckerbeg akina Hp.
Sasa bongo mnapenda sana kutumia kigezo cha muda badala ya effect .
U get paid and become succesful not for the time u spend but for value u bring/create
Muulize huyo kwenye 100 walioacha ni wangapi wametoboa? Anafanya conclusion kwa reference ya watu watatu Dunia nzima ni ujinga.Acha upimbi wewe, hizo shule walizoacha ni Harvard mzee siyo Njuweni College of Medicine. Jinga kabisa
Siyo kwa ubaya lakini