Udaktari umekuwa kazi nyepesi sasa hivi

mwalimu wa kiswahili ulipata ile ajira?

1. Anatomy
2. Physiology
3. Biochemistry
4. Microbiology
5. Pathology
6. Pharmacology
7. Community Medicine
8. Internal Medicine
9. Surgery
10. Pediatrics
11. Obstetrics and Gynecology
12. Psychiatry
13. Radiology
14. Emergency Medicine
15. Medical Ethics
16. Epidemiology
 
Nadhani baada ya kuziona hizo 👆 👆 ameingia mitini mazima.
 
kumbe degree ya HKL it means ulikimbia Phys,chemstry kwa hy huna vigezo ila ulipofikia sio pazuri yaan unakosoa kazi za watu😡😡😡
Nanukuu: "ulipofikia sio pazuri yaan unakosoa kazi za watu"
Ilhali hao watu wanaokosolewa kwa kebehi wala hawaja idharau na kuihafifisha kazi yake ya ualimu.
 
Nanukuu: "ulipofikia sio pazuri yaan unakosoa kazi za watu"
Ilhali hao watu wanaokosolewa kwa kebehi wala hawaja idharau na kuihafifisha kazi yake ya ualimu.
Exactly kila mtu aheshimu carrier ya mwenzake
 

Mimi ni Tabibu / Natural health Practitioner kutoka kampuni moja ya Kimarekani lakini asili yake ni China .
Nilisoma treatment formulas zao , kisha kufanya mitihani yao ya Kiafya , mara ya kwanza matokeo hayakuridhisha , nikasima tema online , nikafanya mtihani wao , nikafaulu , na kupatiwa Certificate kutoka USA [emoji631], Sasa hivi nafanya matibabu hapa nyumbani kupitia dawa asili zao !

KISA :
Baba yangu mdogo alipata shida ya upumuaji , so wakamkimbiza Muhimbili JAKAYA KIKWETE ; na kuwekewa Oxygen , nikiwa kama Tabibu , nilienda kumuona , so pia nikajadiliana na madaktari kwenye chumba cha ICU
Nikawauliza shida yake mzee wangu ni nini haswa ?
Wale madaktari wakaniambia ni Oxygen ndogo mwilini

So kwa elimu yangu asili nikashirikiana nao mawazo , nikawaambia kuwa Kama Oxygen ni ndogo mwilini maana yake Mzunguko wa Damu ni mdogo , kwa maana nyingine mishipa imeziba / Blood stuck or blockage

Kwa hiyo shida ni mzunguko wa damu hauko sawa mwilini mwake , na kupelekea tatizo la Oxygen

Then kwa sababu walikuwa wanampatia huduma yao , nikawaomba mimi nimfanyie FOOT MASSAGE/ REFLEXOLOGY, kwa ajili ya Kuzibua mishipa na kuwezesha Oxygen kupatikana kwa haraka ,
Nikawapa business card yangu , na kwa maelezo yangu , walistaajabu kidogo hii Plan , so wakaniruhusu .

Baba yangu mwili wote ulikuwa unamuuma , na ndio dalili kuwa mzunguko wa damu hauko sawa !

Therapy ilinichukua 3 days , Oxygen ilirudi na akapona faster , akatolewa ICU na kupelekwa Ward ya kawaida bila Oxygen, mbali na kumkuta kwenye hali mbaya sana !

So nashauri madaktari wetu ni vyema washirikiane nasi watu wa Natural Katika Critical health issues kama hizi

Maana wao hutoa dawa peke yake , na watu wengi hupoteza maisha kulinga na miili kuwa dhaifu sana na kushindwa kuhimili nguvu za dawa na kuzalisha sumu zaidi mwilini hivyo Mifumo kukwama na watu kupoteza maisha !
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kuna mambo mtu mzima ukiongea inaonesha ni vipi kichwani una VIMA
 
Ndo nyie mnatuambia ajira zipo tukifika ofisini kwenu mnasema leta wenzako watatu ili upate kamisheni......
Ahahahaha
Sema mkuu salout kwako aisee umetisha sana an
 
So powaaa mkuu
 
Kwa hiyo haya uliyoyaandika umeyajua Leo?
 
Hakuna kitu sikipendi kama Daktari kuniambia tu nenda kachukue hizi dawa!
Kasoma majibu ya maabara alafu anaandika tu dawa bila kukwambia unachoumwa!
Ukimuuliza anajibu "Niitie flani"
Japo ni haki yako kufahamu lakini wingi wa wagonjwa unachangia pia.
 
Unaenda hospital unaumwa unaandikiwa vipimo hivo mpk unashangaa vingine hata haviusiani na tatizo mtu una gastritis unaandikiwa X-ray,mara vipimo vya moyo hatar sana!
Kama unakuwa diagnosis ya ugonjwa wako hospitali umefuata nini?
 
Lipia tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…