Udaktari umekuwa kazi nyepesi sasa hivi

K
weli
kweli mkuu unaweza
Maana una uwezo mkubwa sana….
Kama ulisoma HKL na ukafaulu,,, PCB haikushindii na hukuipenda kabisa japo ukifaulu vzr sana mzeee na najua ulipenda kuwa mwalimu tangu utoto wako….
Tafuta mfadhiri ukasome mkuuu….udaktari easy easy tu yaaniii
 
Ni kweli mkuu unaweza kuwa daktari mzuri wa mifugo
 
Ni kweli mkuu unaweza kuwa daktari mzuri wa mifugo
Hana uwezo kusoma BVM huyu…
Simdharau lakini hata uwezo wake wa kuchanganua mambo kwa akichokiandika,,,,,hatoboi SUA Hata 1st semester
 
Ila na Lugha tusizozijua zinasababisha ugumu. Binafsi naamini elimu ingekuwa nia ni ujuzi na ikafundishwa kwa lugha nyepesi na kwa vitendo zaidi haya mambo si magumu kama ukijifunza kwa kilatini sijui kiebrania hicho maana terminology ni ngumu hizo kweli. Binadamu akiona akafanya kwa kurudia rudia anafanya vizuri kuliko akisoma.
Hivi, kabla ya kuja mzungu na mfumo wa elimu wa kileo, watu walikuwa wanakufa sana sababu hawatibiwi? Tulifundishwa kwa mfumo gani? Imekuaje hatuna jambo zuri hata moja kutoka huko nyuma lililochanganywa na la wazungu? Yaani kuanzia dini, matibabu mpaka mfumo wa kuishi ni wazungu wametupa?
 
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi

we ni Mulongo sana, Kwamba vinatoa majibu vyenyewe🤣 nchi gani hiyo?
Hujui kwamba best suggestion ya matibabu hutolewa kulingana na u-special wa case na hiyo ndo lazi ya health personels.
 
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone

Sorry Mkuu kumbe shida si wewe, shida ni HKL, ualimu na ukosefu wa Ada.
 
Mitihani utaifanya kwa technolojia? CT scan itakufanyia mtihani wa pathology? Unaongea utopia
 
Mkuu; hapo umesema kweli kabisa.Kongole kwako. Kwa mfano Hai; huku Umasaini walikuwepo wazee wataalam wa kuunga mifupa. Kilichokuwa kinafanyika ni kwa kutumia P.O.P ya ngozi. Mtu aliyevunjika (hata kama ni multiple fracture) walichukua mguu wa ng'ombe (kongoro) kisha wanalichuna ngozi yake lakini bila kuikatakata (tenganisha) hiyo ngozi yake. i.e. wanatoa ngozi yake ikiwa intact mfano wa bomba. Ngozi ikiwa bado mbichi, Mguu uliovunjika wa Mgonjwa; huyo mzeeMtaalam unaunyoosha kwa uzoefu wake kitaalam halafu mguu unavishwa hiyo ngozi. Ngozi hiyo itaanza kukauka kwa kuunyoosha huo mguu wa mganjwa kama ilivyokuwa kwenye kongoro. Baada ya siku kadhaa ngozi hiyo itaanza kupakwa mafuta ili iwe laini isiendelee kum'binya mgonjwa kuliko inavyotakiwa. Baada ya wiki mbili (kwa mtoto) au mwezi 1 (kwa mtu mzima), mgonjwa ataweza kutembea lakini ngozi haitaondolewa mpaka hadi "mtaalam" ajiridhishe ndipo inaondolewa. Kingine kwa mfano, Vijana wakigombana na kukatana kwa sime zao, wazee huchubua aina fulani ya kamba kutoka mti fulani maalum na kushona jeraha au majeraha na majeruhi walipona vizuri kabisa. Kidonda hakiozi hata kidogo. Hayo ni baadhi tu ya utaalam wa TibaAsili zilizokuwa na mafanikio. Siku hizi zinaitwa ni za KISHENZI. Tulitakiwa tuishi na hao majamaa kwa Tahadhari - lakini ndo ivo tena tumeshakuwa Brain washed jumla.
 
Reactions: Tsh
Aisee, Tumepoteza ujuzi mwingi mno.
 
Aisee, Tumepoteza ujuzi mwingi mno.
Kweli broo. Matokeo yake sasa yameshamiri magonjwa mengi ambayo hakuna tiba zake za uhakika huko Hospitali na Waganga/Madaktari Matapeli wameingia wakiwadanganya watu kuhusu tiba mbadala na bei au gharama zao huwa ghali sana. Wale wataalam-asili wa kweli walikuwa wanapokea shukrani tu na ni baada ya mtu kupona maradhi yake. Siku hizi ni pesa kwanza- habari ya kupona au usipone hilo utajua mwenyewe.
 
Reactions: Tsh
umenikumbusha mbali aisee
 
Ila haya ni maneno ya mkosaji, ukipewa nafasi usome udaktari hutoweza na utadrop first year...hkl hauwezi, msingi mbovu wa hesabu, kemia, biolojia nk
 
Serikali ya CCM inawasomea raia wake albadili.
 
Acha upimbi wewe, hizo shule walizoacha ni Harvard mzee siyo Njuweni College of Medicine. Jinga kabisa
Siyo kwa ubaya lakini
 
Acha upimbi wewe, hizo shule walizoacha ni Harvard mzee siyo Njuweni College of Medicine. Jinga kabisa
Siyo kwa ubaya lakini
Muulize huyo kwenye 100 walioacha ni wangapi wametoboa? Anafanya conclusion kwa reference ya watu watatu Dunia nzima ni ujinga.
Anamaanisha ukiacha chuo unatoboa? Huyo jamaa anazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…