UDAKU: Hatimaye Anti Bilali amvisha Sauda Bin Kazhi Pete ya Uchumba

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,841
Reaction score
37,579
Habari ndio hiyo.
Na umbea ndio huo.
Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu.
Kama haikuhusu,potezea.
Harusi October 25.
Wa mjini twajuana.
 
hiyo ndoa ye atakuwa mme!!!!!!!
maana nijuavyo mimi yeye anaingiliwa mlango
wa uwani sasa huyo Sauda inakuaje kuaje!!!!!!!
 
sauda ni nini? anti bilal ni kitu gani? pete ya uchumba ni nan huyo?
 
Makuuubwa....me nilihisi ni me aliyejibatiza jina la kike..kwahiyo amefanya hivyo ili kuprove nini.? Kwamba si shoga.? Na km ni bado shoga wataishije humo ndn

mie mwenyewe sielewi elewi
msubirie Madame B may be anaelewa!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Habari ndio hiyo.
Na umbea ndio huo.
Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu.
Kama haikuhusu,potezea.
Harusi October 25.
Wa mjini twajuana.
Alafu wewe unapoteagaaaaaaaa, najua mjini yanatokea mengi ila sasa wewe ndugu sijui unatubania sie wanasugunua jamvi wenzako?
 
Alafu wewe unapoteagaaaaaaaa, najua mjini yanatokea mengi ila sasa wewe ndugu sijui unatubania sie wanasugunua jamvi wenzako?

Shoga yangu wala usijali.
Nitakurushia hizo Picha za Anti Bilali Pm ili ujibwedee mautamu.
Mjini Rareeeeee...!!!
 
thread kama hizi mara zote huwa na skip ku comment ila leo najarabu...ni hivi hiyo haitamsaidia kufuta ushoga wake.atabaki kuwa shoga bigtime for the rest of his/her life.
 
thread kama hizi mara zote huwa na skip ku comment ila leo najarabu...ni hivi hiyo haitamsaidia kufuta ushoga wake.atabaki kuwa shoga bigtime to the rest of his/her life.

Kasema kachoka kufatwa fatwa na akina Shigongo kuhusu u-shoga wake.
Ameamua aoe ili amzibe mdomo huyo hasimu wa Mange.
Ila haitamsaidia kubadili ushoga wake.
 
Unaogopa kusutwa?
Au umekuja mjini na mbio za Mwenge shoga!

hahahaaaa Nimekuja na fuso ila kwasasa utanijua km ndo nliletwa na fuso? Huyo msutaji mwenyewe ajipange haswaaaaa. anajua anakuja kunisuta mimi ila asipoangalia nitamsuta yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…