UDAKU: Hatimaye Anti Bilali amvisha Sauda Bin Kazhi Pete ya Uchumba

UDAKU: Hatimaye Anti Bilali amvisha Sauda Bin Kazhi Pete ya Uchumba

hahahaaaa Nimekuja na fuso ila kwasasa utanijua km ndo nliletwa na fuso? Huyo msutaji mwenyewe ajipange haswaaaaa. anajua anakuja kunisuta mimi ila asipoangalia nitamsuta yeye

Hehehe!
Mbuzi kafia kwa muuza supu.
Shoga nina bonge moja la udaku.
Jumamosi kuna kibao kata cha Sauda Khazi, mamaa mupekepeke.
Ngoja nikutimbie maguu nije kukufinya sikio mie, raha ya umbea uwahi kudaka maongezi.
Hakuna kurudia rudia kama tangazo la kifo cha Mchaga TBC1...lol!
 
Madame B ujue wanikera?? sasa mbonas hufiki? kila saa waja waja na mzigo sikuoni
 
Last edited by a moderator:
Habari ndio hiyo.
Na umbea ndio huo.
Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu.
Kama haikuhusu,potezea.
Harusi October 25.
Wa mjini twajuana.

Wataoana afu watatafuta mume wa kuwawowa wote wawili..
 
Shem hebu ngoja nikuulize, hivi huyu Bilal ashawahi kusoma Mbuyuni Primary pale karibu na St Peters miaka hiyo?

Ndio huyo huyo shem watu8........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom