hahahaaaa Nimekuja na fuso ila kwasasa utanijua km ndo nliletwa na fuso? Huyo msutaji mwenyewe ajipange haswaaaaa. anajua anakuja kunisuta mimi ila asipoangalia nitamsuta yeye
Habari ndio hiyo.
Na umbea ndio huo.
Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu.
Kama haikuhusu,potezea.
Harusi October 25.
Wa mjini twajuana.
hili ni moja kati ya ajenda za #UjiowaObama
Madame B ujue wanikera?? sasa mbonas hufiki? kila saa waja waja na mzigo sikuoniHehehe!
Mbuzi kafia kwa muuza supu.
Shoga nina bonge moja la udaku.
Jumamosi kuna kibao kata cha Sauda Khazi, mamaa mupekepeke.
Ngoja nikutimbie maguu nije kukufinya sikio mie, raha ya umbea uwahi kudaka maongezi.
Hakuna kurudia rudia kama tangazo la kifo cha Mchaga TBC1...lol!
Hehehe!
Ngoja nije Pm.
Shoga, khaaa!
Habari ndio hiyo.
Na umbea ndio huo.
Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu.
Kama haikuhusu,potezea.
Harusi October 25.
Wa mjini twajuana.
Kushakucha!
...na ndio maana kila uchao nanawiri tu.