Habari ndio hiyo.
Na umbea ndio huo.
Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu.
Kama haikuhusu,potezea.
Harusi October 25.
Wa mjini twajuana.
Kasema kachoka kufatwa fatwa na akina Shigongo kuhusu u-shoga wake.
Ameamua aoe ili amzibe mdomo huyo hasimu wa Mange.
Ila haitamsaidia kubadili ushoga wake.
Unatoa siri za baraza la mawaziri ujue mke wangu....Asprin ataniua nakwambia, anaitaka kama mlo, asubuhi mchana na jioni, usiku ndotoni tena huyu ananijia! nipo wangu, mith u sanaaaaaaa, namiss kucheka kwa kweli, kijiwe kijacho nishtue!
Hommie, tuna nini mimi na wewe? Unataka kuharibu smart partnership yetu?
kaaaaaazi kweli kweli......usininyime mnuso!
uhuhuuuuuAsubiri na yeye kusaidiwa mkewe kwenye gari kama Ndugu Mlatie.
Uzuri wake akikufumania anaweza akakuambia na mimi nataka.
Habari ndio hiyo.
Na umbea ndio huo.
Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu.
Kama haikuhusu,potezea.
Harusi October 25.
Wa mjini twajuana.