Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Kasinde kaonekana feri akinunua samaki jana akiwa amejitanda baibui na mawani meuzi.. ila watoto wa mjini tumemshtukia.

Dawa yako ni kukutokea kwenye crash na pikipiki yako ya miguu 3 na helmet, this time I'll be a police traffic, we unanichokoza kuwa mie niko ferry, Kaizer kaniambia kanihifadhi kigamboni 4 days, ngoja niingie msituni nikiibuka hatapona mtu humu MMU. Mie niko kwa Obama state nabundi na kupopo nakula life na kuinjoy ujana u said what!! just wait and stay tuned,
Halafu nahisi kuna mtu atakuwa amekutuma wewe sio bure, maana najua ulivo mpole how come unichokoze hivi???!!! ntamjua tuu huyo aliyekutuma unichokozee
 
'Ngilyeinengo Isarya' - 'Nimemkumbuka Isarya' huyu isarya atakuwa mchumba wake wa zamani enzi izo bado anaishi uchagani.

aisee bora nisinngeuliza duu,hakuna kitu kinauma kama kujua lahazizi anamkumbuka x wake lol.
 
ameshapewa kitu kingine jipyaaaa huyo bi mkubwa.... sijui lenyewe litaexpire baada ya siku ngapi maanake huyo kizaa chema kwa ubisho simuwezi

Usikate tamaa ndo mzaa chema huyo siku hizi ni digtal....
 
Back
Top Bottom