Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Khaaa mchaga wa wapi wewe una michambo ka mzaramo lol

mchaga wa kishumundu mie lakini bibie
user-online.png
Ntuzu kaingia choo cha kike nilimwambia nipe hela nitamganda kama ruba kagoma aiii atajuta
 
Nilikuwa sina mpango wa kuloga mtu mwaka huu. Kuna mtu hapa atabadilishwa jinsia soon afu kimwaga upepo chake nakihamishia usoni.

Watch me...


Hahahaaaaa dua la Kuku Hilo!

Bora uturoge km Yale yaliyotokea Temeke!
 
Back
Top Bottom