Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Kumbe Kaizer ndio alikuwa amekutuma eeh!!! Wale samaki wameshaisha kwani! Hinhinhiiiiiiiiiii

I am waiting my dear, Yaaani ukitokeza ntavyokunyakua utashangaaa.... but only to expect greatest and funniest moments with Bodaboda man. Cant wait wakina Obama wakishakurudisha.

Wishing all th best. ENJOY!!!!!!

hahahahhaa haya bana ngoja nirudi nikitoka kwa Obama ntakucrash nione bodaboda man ikoje, ila usindondoshe mtaroni tuu
 
Na Mwanyasi ni mjomba ako eeeh???????

Nimechukia sana kuona mke wa mtu unabusu waume za watu ovyo!
Hapa nina hasira:angry: kinyama Chocs hadi nahisi kukupa talaka ili uende kwa huyo Mwanyasi wako! :angry:


Khah...usikasirike ivo swtht.Nisamehe mume wangu,salam tu hiyo
Sirudii tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom