Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Haaa samahani kumbe bado haujatangazwa.....haya paroko.

Kutagazwa ni baada ya tukio kutokea

Hakuna kilichotokea ambacho kinahitaji kutangazwa

Ni nini hicho ambacho wewe unadai hakijatangazwa bibie?
 
Kutagazwa ni baada ya tukio kutokea

Hakuna kilichotokea ambacho kinahitaji kutangazwa

Ni nini hicho ambacho wewe unadai hakijatangazwa bibie?

Aaaaa jamani baba paroko kwani we hujui.....
 
kiwatengu mimi ndiye mwenyekiti wa kudumu na hakuna alowahi kunipindua tangu nimpindue Baba V na mke wangu ni yuleyule umjuaye.... Chocs wa ukweli mwenye mautamu niyapendayo..joto langu la ukweli....hapa kifo tu ndo kitatunganisha....!
Rais ni Arushaone

Arusha Juu daima

BTW Nalimiss sana jukwaa letu

Pamoja sana kamanda
 
Last edited by a moderator:
Nami nijipongeze kwa kuzaliwa mwezi huu wa 6 The Don niishi miaka 700
 
Last edited by a moderator:
we unaangalia ukubwa wa umri au mikono ya shati?

  • :flame:

Hivi bado hujamjua mtwasi wako vizuri enheee muuliza mdogo wangu atakwambia vizuri, usimchukulie poa, bahatika kuingia katika familia yetu utajua.
 
Karibu sana, Itakua boooonge la crash. nadhani ndio itakua ya mwisho cause the part gonna be hooooot!!!! like never before.. hunhunhuuuuu!!!:couch2:

hahahahhaa haya bana ngoja nirudi nikitoka kwa Obama ntakucrash nione bodaboda man ikoje, ila usindondoshe mtaroni tuu
 
Karibu sana, Itakua boooonge la crash. nadhani ndio itakua ya mwisho cause the part gonna be hooooot!!!! like never before.. hunhunhuuuuu!!!:couch2:

kesho jumanne, wiki imeisha inabidi gazeti jingine liingie hewani.
nina news za kutosha hapa nazifanyia filtering tu!!
 
Back
Top Bottom