Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Karibu sana, Itakua boooonge la crash. nadhani ndio itakua ya mwisho cause the part gonna be hooooot!!!! like never before.. hunhunhuuuuu!!!:couch2:

hahahahahaa Tized bana eti itakuwa ya mwisho really? Kasinde is something tough, she naughty and silly, ok lets see Tized crush with Kasinde for the last crush and here she is, nikirudi tuu ntakutonya
 
Unafaa kukutana na Tized katika ubora wake. Cant wait!!!!!!!

hahahahahaa Tized bana eti itakuwa ya mwisho really? Kasinde is something tough, she naughty and silly, ok lets see Tized crush with Kasinde for the last crush and here she is, nikirudi tuu ntakutonya
 
kiwatengu mimi ndiye mwenyekiti wa kudumu na hakuna alowahi kunipindua tangu nimpindue Baba V na mke wangu ni yuleyule umjuaye.... Chocs wa ukweli mwenye mautamu niyapendayo..joto langu la ukweli....hapa kifo tu ndo kitatunganisha....!
Rais ni Arushaone

Arusha Juu daima

BTW Nalimiss sana jukwaa letu

Hahahahaaaa, nakuja kama nani vile nani kirusi, kwa kuwa nguvu ninayo, kasi ninayo na kila kitu, jipangeeeeni.
 
Back
Top Bottom