Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

mchaga wa kishumundu mie lakini bibie
user-online.png
Ntuzu kaingia choo cha kike nilimwambia nipe hela nitamganda kama ruba kagoma aiii atajuta

aisee aisee aisee nimeona jina lako moyo wangu ukaruka pwaaaaaaaaaaaa
 
Luv u sweetie Khantwe

Haiwezekani mtu anakuvisha pete miaka 8 ya uchumba! Alafu anazururuka tu!

Mchukue na dada yake kabisa. Mi simtaki tena. Mwanamke kıgeugeu kama dola ya Zimbabwe. Nimeamua kwa moyo wa dhati kuhamishia mapenzi yangu kwa miss neddy.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom