Karibu sana, Itakua boooonge la crash. nadhani ndio itakua ya mwisho cause the part gonna be hooooot!!!! like never before.. hunhunhuuuuu!!!:couch2:
afu wewe khantwe wewe!!!
Mkuu .........!!
wamekubamba hawajakubambaa........
Wamembamba nani?
Kwani nimefanya kitu gani hadi nibambwe?
Umefanya dhambi nakuletea kitubio hapohapo baba paroko.
I wonder whta that "kitubio" is hadi ukilete ...
Is that something sweet?
Weee baba paroko hukijui kitubio kweli....usipende vitu sweet yasije yakakupata kama ya jana..
Ya jana yepi hayo?
hahahahahaa Tized bana eti itakuwa ya mwisho really? Kasinde is something tough, she naughty and silly, ok lets see Tized crush with Kasinde for the last crush and here she is, nikirudi tuu ntakutonya
kesho jumanne, wiki imeisha inabidi gazeti jingine liingie hewani.
nina news za kutosha hapa nazifanyia filtering tu!!
kesho jumanne, wiki imeisha inabidi gazeti jingine liingie hewani.
nina news za kutosha hapa nazifanyia filtering tu!!
Unajisahaurisha eeeeeee....
Nalisubiri kwa hamu ndugu mwandishi
Penda sana umbea wewe?
Unafaa kukutana na Tized katika ubora wake. Cant wait!!!!!!!
Ole wako nimwone my daughter front peji
kiwatengu mimi ndiye mwenyekiti wa kudumu na hakuna alowahi kunipindua tangu nimpindue Baba V na mke wangu ni yuleyule umjuaye.... Chocs wa ukweli mwenye mautamu niyapendayo..joto langu la ukweli....hapa kifo tu ndo kitatunganisha....!
Rais ni Arushaone
Arusha Juu daima
BTW Nalimiss sana jukwaa letu